-
Maths Progress International Year 9 Workbook
Maths Progress International has been designed specifically for international students and provides seamless progression to Pearson Edexcel International GCSE Maths (9-1), as well as complete coverage of the Pearson Edexcel iLowerSecondary Award and the UK Curriculum objectives.
These write-in, full colour Workbooks offer extra practice of key content, along with progression checkers at the end of each Unit and plenty of dynamic student support.
Hundreds of extra practice questions to build confidence and matched to content in the Student Books for consistency.
Guided questions with partially worked solutions, hints and QR codes linking to worked example videos give students crucial support
Progression checkers at the end of each Unit encourage students to take ownership of their learning, and allows them to track their progress as they work through the book.
Product details
- Â Paperback |Â 136 pages
- Â 208 x 294 x 10mm | 375g
- Â 24 Feb 2020
- Â Pearson Education Limited
- Â Harlow, United Kingdom
- Â English
- Â 1292327200
- Â 9781292327204
- Â 51,981
-
Mazoezi na Marudio Mufti ya Kiswahili 8 by Wallah Bin Wallah
by Wallah Bin Wallah
Mazoezi na Marudio Mufti ya Kiswahili, Darasa la 8 ni kitabu kilichoandikwa kwa weledi mkuu kwa madhumuni ya kumwandaa na kumnoa mwanafunzi anayejitayarisha kwa mtihani wa somo la Kiswahili – K.C.P.E. Kitabu hiki kimeandikwa kwa kuzingatia silabasi mpya ya shuleza msingi. Kinalenga kuhamasisha na kupiga msasa usasa wa kutoa mazoezi na marudio kwa wanafunzi na wote wanaosoma lugha ya Kiswahili katika Afrika Mashariki, ujirani wake na kote ulimwenguni.Kitabu hiki kimezingatia msamiati mwafaka na sahihi, miundo, mitindo na mbinu zinazotumiwa katika kuandaa na kutahini somo la Kiswahili katika ngazi ya K.C.P.E.Kwa mwalimu, kitabu hiki chenye karatasi themanini (80) za maswali ya mazoezi ya K.C.P.E pamoja na majibu yake ni nyenzo ya kipekee ya kuwatathmini, kuwaboresha na kuwaandaa wanafunzi kwa mtihani wa kitaifa. Katika maswali haya mna mazoezi ya mazoea, uzoefu na kuzoesha ili mwanafunzi au yeyote akitumiaye kitabu hiki apate kichocheo, mwamko na hamu kiasi cha kwamba akimaliza zoezi moja aendelee kufanya jingine na jingine hadi ajikute amekuwa mzoefu wa mazoea ya kufanya mazoezi ya Kiswahili Mufti.Vivuto na vivutio halisi katika kitabu hiki ni jinsi maswali yalivyoulizwa kwa namna ya kuchangamsha na kudadisisha. Fauka ya hayo, vifungu vya ufahamu vina upekee kwa maana ya kuhekimisha, kushajiisha, kunasihi na kuarifisha, kwa maarifa kemkemu. -
Mbinu za Kisasa za kufundishia Walimu by Musau
Hakuna kitabu kimoja cha Kiswahili kinachoshughulikia mbinu na mikakati ya kufundisha mada mbalimbali za lugha na fasihi. Mbinu za Kisasa za Kufundishia Kiswahili ni kitabu kinachoshughulikia ufundishaji wa Kiswahili. Kitabu hiki kinabainisha na kufafanua mbinu za kisasa za kufundishia mada kama: matamshi, sarufi, msamiati, ufahamu, insha na fasihi. Dhana muhimu katika ufundishaji wa lugha na fasihi zinafafanuliwa na kutolewa mifano mwafaka inayotokana na tajriba ndefu ya waandishi wa kitabu hiki katika ufundishaji wa Kiswahili. Kitabu hiki kitawafaa walimu wa shule za msingi, za upili na vyuo.
Shop By Categories
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books











