-
Kiswahili Dadisi Mazoezi ya Lugha Kitabu cha Mwanafunzi … by Oxford
Kiswahili Dadisi. Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunzo. Pia vinakura umili uliopendekezwa, maadili kufahamisha kuhusu masualaibuka.
Katika Kiswahili Dadisi. Mazoezi ya Lugha, kitabu cha Mwanafunzi. Gredi 2. utapata :
-mada zilizopangwa Kwa kuzingatia muainisho wa mtalaa mpya
-mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika
-mazoezi nje ya darasa ili kuendeleza ujifunzaji na kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja
-Jinsi ya kuwashirikisho wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikajiKiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, kitabu cha Mwanafunzi kina Mwongozo wa Mwalimu ambao pia una mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwalimu atahitaji
-
Kiswahili Dadisi Mazoezi ya Lugha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 1
by Oxford
Kiswahili Dodisi. Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipyo vilivyoandikwa kwo upekee iti kutosheleza mahitaji ya mtaloo mpyo wa Umilisi. Vitabu Finn vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahomu we Lugha kupitio stadi za kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vino mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuzo umitisi uliopendekezwa. maadili no kufahamisha kuhusu masualaibuka.
Katika Kiswahili Dadisi. Mazoezi ya Lugha. Kitabu cha Mwanafunzi. Gredi utapata:
- made zilizopangwo kwa kuzingatio muainisho wa mtalaa mpya
- mifano halisi ya miktodho ambapo Lugha hutumika
- mazoezi nje ya darasa iii kuendeteza ujifunzaji na kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli zo kijamii zinazokuza ujifunzaji
- mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja
- jinsi ya kuwashirikisha wazazi no walezi iii kuimarisha uwajibikaji.
-
Kiswahili Fasaha Kidato 3
Kiswahili Fasaha ni kitabu kinachoakisi mtazamo teule wa kujifunza lugha ya Kiswahili kulingana na mahitaji ya wanafunzi wa shule za sekondari na kuwiana na silabasi mpya.
-
Kiswahili Fasaha Kidato cha 2 by Waititu
by Waititu
Kiswahili Fasaha ni kitabu kinachoakisi mtazamo teule wa kujifunza lugha ya Kiswahili kulingana na mahitaji ya wanafunzi wa shule za sekondari na kuwiana na silabasi mpya. Kitabu hiki kinajenga na kuimarisha msingi thabiti wa stadi zote za lugha ya Kiswahiti, matumizi ya lugha, fasihi, ufasaha wa lugha na utunzi ili kumtayarisha mwanafunzi kimapana na kikamilifu awe mwanafunzi fasaha na mweledi. Kiswahili Fasaha, Kidato cha Pili, ni cha pili katika mfululizo wa vitabu vinne. Kitabu hiki kinaambatana na Mwongozo wa Mwalimu. -
Kiswahili For International Schools
by OLIVER ATSANGU, BOBEA, MAGAMU
Kiswahili for international Schools book is written for learners taking the Kiswahili subject as a second language. It has refined important Swahili content. The authors are high-level experienced Swahili teachers and researchers.
Contents:
• Grammar
• Comprehension
• Composition
• Translation
• Vocabulary
• Practice exercisesFocuses on
• Guiding the beginners on various introductory aspects of the language
• Guiding students to a higher grade in the international examinations
• Leading to perfection in sentence structures in different contexts.The book has numerous student-centered exercises to keep the learners engaged. It also gives the teacher in international school a way forward on the scope and the content for the coverage of the expected curriculum, The book has been blended from three main international examination bodies.
It is a powerful recommendation for the preparation of students in all levels at the International stage.ISBN: 9789914706826
-
Kiswahili Kidato Cha 2 Mwalimu by Vonyoli
by Vonyoli
Hili ni toleo la tano la Kiswahili kwa Kidato cha Pili, Mwongozo wa Walimu. Kitabu hiki ni cha pill katika mfululizo wa vitabu vinne vya Kiswahili kwa shule za upili. Maelezo mwafaka kwa mwalimu, mifano zaidi na majibu ya mazoezi ya kila sura ya kitabu cha wanafunzi yametolewa. Ni kitabu ambacho walimu watafurahia kukitumia.
-
Kiswahili Kidato Cha 4
Hili ni toleo jipya la Kiswahili kwa Kidato cha Nne, Kitabu cha Wanafunzi. Kitabu hiki ni cha nne katika mfululizo wa vitabu vinne vya Kiswahili kwa shule za upili. Kitabu hiki kimefuata mfumo wa elimu wa 8-4-4 na kufanyiwa marudio kulingana na silabasi mpya ya Kiswahili ya 2002 ya Kidato cha Nne. Katika toleo hili, maelezo zaidi juu ya nyanja mbalimbali za lugha yameshughulikiwa kama vile, mpangilio mpya wa ngeli, kusoma kwa kina, na msamiati na istilahi kimuktadha. Pia, maswala ibuka kama vile maadili, UKIMWI na mazingira yamejitokeza. Mifano zaidi, michoro na picha zimetumiwa ili kufanya somo hili liwe la kuvutia. Ni kitabu ambacho wanafunzi watafurahia kukitumia.
-
Kiswahili Kitukuzwe kidato cha 4 Mwongozo wa Mwalimu by Watuha
by Watuha
Hili ni toleo la pili la Kiswahili Kitukuzwe Darasa la Nne Mwongozo wa Walimu. Kitabu hiki ni cha kwanza katika mfululizo wa vitabu vinane vya walimu vya lugha ya Kiswahili kwa shule za msingi. Mwongozo huu wa walimu umeandikwa kwa njia itakayomfaa mwalimu kwa kumwangazia namna ya kushughulikia somo analofundisha. Mapendekezo ya shughuli za mwalimu na mwanafunzi yametolewa hatua kwa hatua katika kila somo. Vifaa anavyoweza kutumia mwalimu vimependekezwa kama inavyohitajika kuambatana na silibasi. Inapobidi, maelezo na mifano zaidi ya funzo husika yametolewa kwa mwalimu iii aweze kulikabili funzo hilo kwa ujasiri. Hatimaye majibu ya maswali na mazoezi yametolewa ambapo mwalimu anaweza kuyalinganisha na majibu yake mwenyewe au ya wanafunzi hasa pale ambapo jibu si moja tu. Vitabu vifuatavyo vya Kiswahili ambavyo vimechapishwa na KLB, pia vyapatikana katika mfululizo huu:
Shop By Categories
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books











