Urafiki wa Chanda na Pete by KLB
by KLB
Urafiki wa Chanda na Pete ni hadithi inayopatikana katika mfululizo mpya wa hadithi za Kiswahili za Nasaha Zetu zinazochapishwa na K LB. Hadithi hii ni ya wanafunzi wa darasa la pili. Marafiki wema hushirikiana kutenda wema. Pia, hufunzana tabia njema. Je, Amino na Zawadi ni marafiki wema?
WhatsApp us for any enquiry...
Reviews
There are no reviews yet.