Taswira ya KCPE Kiswahili by Wallah Bin Wallah
Taswira ya KCPE Kiswahili ndicho kitabu mufti kinacholenga barabara maandalizi halisi ya mwanafunzi anayenuia na kuwania kufuzu katika mtihani wa Kiswahili kiwango chochote, hususan darasa la nane (KCPE) nchini Kenya au darasa la saba nchini Tanzania bila hatihati. Ni kitabu kilichotungwa na kusawirika kitaalam kutokana na utafiti wa kina unilingatia nguzo kuu tano za silabasi mpya:
WhatsApp us for any enquiry...
Reviews
There are no reviews yet.