Swila Arejea na Hadithi Nyingine 3C

In stock

by STORYMOJA

Buku anafurahia kula chakula kitamu cha mchwa wa kukaangwa kwa supu moto ya karoti wakati Kitiyi, nguchiro mdogo, anapobisha mlango wake. Buku anakataa kufungua mlango akisema hayuko tayari kushiriki chakula chake na wageni. Je, Buku atamruhusu Kitiyi kuingia nyumbani kwake?

Wazazi wa Kitiyi wanazama kwenye mafuriko ya mtoni, Kitiyi analazimika kutafuta msaada kutoka kwa Buku na Swila. Je, wanyama hawa wataungana kuwasaidia wazazi wa Kitiyi?

Sherehe ya siku ya kuzaliwa kwa Swila inakaribia. Swila pia atamhitaji Buku kumpika kwenye sherehe yake. Je, Buku yuko tayari kumsamehe Swila na kumsaidia kupika?

Swila Arejea na Hadithi Nyingine humsaidia msomaji kuchunguza umuhimu wa kuwaonyesha watu upendo, kumheshimu kila mtu na kuishi kwa umoja.

Compare
Be the first to review “Swila Arejea na Hadithi Nyingine 3C”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

WhatsApp us for any enquiry...

See It Styled On Instagram

    No access token

Main Menu

Swila Arejea na Hadithi Nyingine 3C

Swila Arejea na Hadithi Nyingine 3C

Select at least 2 products
to compare