Stadi za Kiswahili Shughuli za Lugha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 1

KShs360.00

In stock

by Mwalimu Kipande

Stadi za Kiswahlli ni Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 1 ni kitabu cha ziada kilichoandakwa kwa mujibu wa mtaala mpya uegemeao umilisi uliozinduliwa na Taasisi ya Ukuzaji Mitaala ya Kenya (KICD) mnamo Septemba 2017. Kitabu hiki kimejumuisha mada zote kuu na ndogo zilizomo katika ruwaza ya mtalaa ya Kiswahili Gredi ya 1. Isitoshe, mada kuu na ndogo zimepangwa kulingana na jinsi zilivyopongwa katika ruwaza hiyo. Fauka ya haya, yaliyomo yamewasitishwa kwa ubunifu wa hali ya juu kuyaoanisha na umilisi wa kimsingi, masuala mtambuko, maadili miongoni mwa masuala mengine yanayofumbatwa na mtaala mpya uegemeao umilisi. Kitabu hiki kimejumuisha shughuli za aina nyingi za kufanywa na mwanafunzi binafsi, wanafunzi wawili wawili na makundi ya wanafunzi. Kazi na shughuli za wanafunzi wawiliwawili na wanafunzi katika makundi zinadhamiriwa kuimarisha stadi za kusikitiza na kuzungumza na vilevile umilisi wa ushirikiano na mawasiliano. Aidha, kitabu hiki kimesheheni vifungu vya kusoma na vya kuchangamsha vitakavyomsaidia mwanafunzi kuimarisha stadi ya kusoma. Stadi ya kuandika haijaachwa nyuma. Kitabu kinazo shughuli za kutosha za mwanafunzi iii kustawisha stadi ya kuandika.

Compare
Be the first to review “Stadi za Kiswahili Shughuli za Lugha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 1”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

See It Styled On Instagram

    No access token
Show Buttons
Hide Buttons

Main Menu

1
Scan the code
Thank you for visiting us,

Need any help?