Phoenix Hatua za Kiswahili Rasmi GD2 (Approved) by Momanyi,Mutuku”
by Momanyi, Mutuku”
Hatua za Kiswahili Rasmi, Kitabu cha mwanafunzi ni mfululizo wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa ufundi kwa kufuata mtalaa mpya unaosisitiza umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kukuza weledi wake katika stadi za kusikiliza na kuzungumza, sarufi na matumizi ya lugha, kusoma na kuandika. Vitabu hivi vina sifa zifuatazo:
Mada kuu zilizopangwa kwa kuzingatia ruwaza ya mtalaa ya Kiswahili Gredi ya 2 ili kurahisisha utumiaji.
WhatsApp us for any enquiry...
Reviews
There are no reviews yet.