Longhorn Mwanga wa Kiswahili Mwanafunzi Grade 5 (Approved)

In stock

by K. Ngere, M. Kikwanuu, H. Kangai and Walla bin Walla

Longhorn Mwanga wa Kiswahili Gredi ya 5 (Kitabu cha Mwanafunzi) ni kitabu kilichoandikwa kwa ustadi na umahiri mkubwa. Kimeandikwa kwa lugha nyepesi ya kiwango cha mwanafunzi wa gredi ya nne. Kitabu hiki kinatosheleza kikamilifu mahitaji ya mtaala mpya wa umilisi pamoja na malengo ya elimu ya taifa la Kenya. Kimeshughulikia wanafunzi wote wakiwemo walio na mahitaji maalum pamoja na wanaoishi kwenye mazingira mbalimbali. Kitabu hiki kitamwangazia na kumwezesha mwanafunzi:
• kuwa na uwezo wa kuwasiliana na wenzake,
• kujiamini na kujithamini,
• kuwaza kwa kina na kupata suluhu ya matatizo,
• kuwa raia mwadilifu na mzalendo,
• kutumia vifaa mbalimbali vya kidijitali.
Upekee wa kitabu hiki ni kuwashirikisha wanafunzi kwa kiwango kikubwa katika ujifunzaji. Mlezi pia ameshirikishwa hasa katika mazoezi ya ziada. Mwishoni mwa kila mada kuu kuna zoezi la kuzichangamsha akili za wanafunzi ili kukumbuka waliyosoma.
Kitabu hiki kina mwongozo wa mwalimu ambao utamwelekeza mwalimu katika kutekeleza wajibu wake. Bila shaka, mwanga wa kitabu hiki utaangaza na kukikuza Kiswahili angavu miongoni mwa wanafunzi. Waandishi wa kitabu hiki ni walimu na watahini wenye ujuzi wa kutosha katika ufundishaji wa Kiswahili kwa miaka mingi.

Compare
Be the first to review “Longhorn Mwanga wa Kiswahili Mwanafunzi Grade 5 (Approved)”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

WhatsApp us for any enquiry...

See It Styled On Instagram

    No access token

Main Menu

Longhorn Mwanga wa Kiswahili Mwanafunzi Grade 5 (Approved)

Longhorn Mwanga wa Kiswahili Mwanafunzi Grade 5 (Approved)

Select at least 2 products
to compare