KLB Visionary Mazoezi ya Kiswahili Grade 1 (Approved)
by KLB
KLB Mazoezi ya Kiswahill Gredi ya 1 (Kitabu cha Mwanalunzi) ni kitabu mojawapo kati ya vitabu vinavyochapishwa na Kenya Literature Bureau vya msururu wa KLB Visionary. Msururu huu wa vitabu umezingatia Mtalaa wa kiumilisi wa mwaka wa 2017 wa masomo ya shule za Msingi.
Kitabu hiki kimekusudiwa kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wa kutumia stadi zote nne za lugha ya Kiswahili: Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika. Kupitia stadi hizi, mwanafunzi anakuza uwezo wake wa lugha.
WhatsApp us for any enquiry...
Reviews
There are no reviews yet.