KLB Top Scholar Kiswahili Grade 7 (Approved)
by KLB
KLB TopScholar Kiswahili Gredi ya 7 (Kitabu cha Mwanafunzi) kimechapishwa kwa kusudi la kuendelea kuimarisha uwezo wa mwanafunzi katika lugha ya Kiswahili kupitia Sarufi na stadi za lugha; Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika. Aidha, mwanafunzi wa Gredi ya Saba amekuziwa msingi madhubuti wa somo la Fasihi katika kitabu hiki.
WhatsApp us for any enquiry...
Reviews
There are no reviews yet.