Kiswahili Kitukuzwe kidato cha 4 Mwongozo wa Mwalimu by Watuha

KShs830.00

In stock

by Watuha
Hili ni toleo la pili la Kiswahili Kitukuzwe Darasa  la Nne Mwongozo wa Walimu. Kitabu hiki ni cha kwanza katika mfululizo wa vitabu vinane vya walimu vya lugha ya Kiswahili kwa shule za msingi. Mwongozo huu wa walimu umeandikwa kwa njia itakayomfaa mwalimu kwa kumwangazia namna ya kushughulikia somo analofundisha. Mapendekezo ya shughuli za mwalimu na mwanafunzi yametolewa hatua kwa hatua katika kila somo. Vifaa anavyoweza kutumia mwalimu vimependekezwa kama inavyohitajika kuambatana na silibasi. Inapobidi, maelezo na mifano zaidi ya funzo husika yametolewa kwa mwalimu iii aweze kulikabili funzo hilo kwa ujasiri. Hatimaye majibu ya maswali na mazoezi yametolewa ambapo mwalimu anaweza kuyalinganisha na majibu yake mwenyewe au ya wanafunzi hasa pale ambapo jibu si moja tu. Vitabu vifuatavyo vya Kiswahili ambavyo vimechapishwa na KLB, pia vyapatikana katika mfululizo huu:

Compare
Category:
Be the first to review “Kiswahili Kitukuzwe kidato cha 4 Mwongozo wa Mwalimu by Watuha”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

See It Styled On Instagram

    No access token
Show Buttons
Hide Buttons

Main Menu

1
Scan the code
Thank you for visiting us,

Need any help?