Jasusi na Hadithi Nyingine 5B (Storymoja)
by STORYMOJA
Je, unakumbuka siku yako ya kwanza_ kuendesha baiskeli? Unawezaje kupata shilingi milioni moja? Unahitaji ujuzi gani kumfunza asiyejua kusoma wala kuandika? Unaamini kuwa kila king’aacho si dhahabu? Ni nini madhara ya uvutaji sigara? Je, unaweza kufanya nini endapo rafiki yako mmoja ametoweka ghafla? Je, wewe umechangia nini shuleni mwenu?
Soma hadithi hizi ili kumfuatilia Zawadi na ndugu zake wanaposhiriki kwenye visa vya kusisimua na kujifunza mambo muhimu kuhusu utiifu, ujasiri na kujiamini.
WhatsApp us for any enquiry...
Reviews
There are no reviews yet.