Distinction KPSEA Kiswahili Combined Workbook Grade 6
by DISTINCTION
DISTINCTION KIPEO CHA KISWAHILI KPSEA Gredi ya 6ni kitabu cha kipekee cha kumwandaa mwanafunzi vilivyo kwa minajili ya tathmini endelevu na tathmini tamati ya mtihani wa Kitaifa (KPSEA). Kitabu hiki kimeandaliwa kwa ustadi tosha kumfaa mtahiniwa na mwalimu, Kimeandikwa kuambatana na mtaala mpya wa Umilisi na kimetosheleza mahitaji yote ya mtaala huo.
WhatsApp us for any enquiry...
Reviews
There are no reviews yet.