Access Tuchangamkie Kusoma Grade 6

In stock

by ACCESS

Tuchangamkie Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya rejea kuhusu stadi ya kusoma. Chini ya mfumo wa Mtaala wa Kiumilisi (CBC), stadi ya kusoma imepewa nafasi mahususi ambapo mbinu na aina za kusoma vinatiliwa mkazo,ili kutosheleza mahitaji haya ya mtaala wa Kiumilisi, vitabu vya Tuchangamkie Kusoma_ vimeandikwa kukidhi haja ya wanafunzi wa Gredi ya 4, 5 na 6 kuambatana na mahitaji hayo ya Mtaala wa Kiumilisi.

Kitabu hiki kinashughulikia aina zote za kusoma: kusoma Kwa ufasaha, kusoma kwa kina, kusoma kwa ufahamu na kusorma kwa mapana kwa nijia rahisi na nyepesi kueleweka. Kina mifano ya kutosha na mazoezi maridhawa yanayompa mwanafunzi umilisi ufaao kuyakabili maisha na kumwandaa vyema kwa ajili ya mitihani yake.

Compare
Be the first to review “Access Tuchangamkie Kusoma Grade 6”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

WhatsApp us for any enquiry...

See It Styled On Instagram

    No access token

Main Menu

Access Tuchangamkie Kusoma Grade 6

Access Tuchangamkie Kusoma Grade 6

Select at least 2 products
to compare