-
Essential English Workbook 8 by Patrick Birgen,mary mach…
by Patrick Birgen, mary macharia, Nduku Mutiso
Essential English Workbook 8 is authored by leading teachers and experts in English language teaching and testing. This is a revision and testing workbook covering the English language syllabus for Primary Eight. Grammar, composition, letter writing. comprehension. punctuation and vocabulary are fully covered. This workbook gives:- short revision notes before each unit.
- examples to guide the pupil in answering the questions.
- moderated exercises and test papers for classroom and home use.
- relevant illustrations.
- model examination papers to help the pupil prepare for the primary level certificate.
- practice in writing free and guided compositions.
-
Quick Reading Composition Guide 7 & 8 by Okeyo,Kilonzi,Wangusi
by Okeyo, Kilonzi, Wangusi
Quick Reading Composition Guide 7 & 8 -
Nipashe Kiswahili marudio kamili ya KCPE darasa la … by L.G.gakono Muriuki Gikun…
NIPASHE KISWAHILI marudio kamili ya KCPE ni kitabu kilichoshughulikiwa na kuandikwa kwa utaalamu Mwingi ili kumwandaa mwanafunzi vilivyo kukabiliana na mtihani wa kiswahili katika KCPE.KARATASI ZOTE MBILI (Lugha na Uandishi) zimeshughulikiwa kupitia:-
- Fani mbalimbali za lugha na mifano ya matumizi.
- Maswali ya miaka iliyopita ya K.C.P.E.
- Maelezo ya kimsingi katika uandishi.
- Vigezo vya karatasi za K.C.P.E.
- Mseto wa maswali ya marudio.
-
Kiswahili Sanifu Darasa la 8 by Bakhressa
by Bakhressa
Kiswahili Sanifu (toleo jipya) ni kozi inayotokana na utafiti wa kina kuhusu mahitaji ya wanafunzi wa shule za msingi katika kujifunza lugha ya Kiswahili. Kozi hii itawawezesha wanafunzi kuinua viwango vyao vya msamiati. Pia itawapa fursa ya kupata na kutumia katika maisha yao maarifa mbalimbali watakayojifunza. Isitoshe, kozi hii itawapa nafasi ya kusoma kwa matengo anuwai na kujieleza kikamilifu wakitumia lugha ya Kiswahili sanifu. -
High Flyer Series KCPE Combined Encyclopaedia Std 8
High Flyer Series KCPE Combined Encyclopaedia Std 8
-
Kiswahili kwa darasa la 8
Hili ni toleo la pili la Kiswahili kwa Darasa la Nane. Kitabu hiki. cha wanafunzi ni cha nane katika mfululizo wa vitabu vinane vya lugha ya Kiswahili kwa shule za msingi. Kitabu hiki kimezingatia kwa kina na kwa namna ya kipekee mada zote zilizomo katika silabasi ya Kiswahili ya 2002 kwa Darasa la Nane. Katika toleo hili, masuala nyeti yameshughulikiwa kwa uketo na usasa kama vile utaratibu wa ngeli kwa kuzingatia upatanisho wa viambishi kisarufi. Masuala ibuka kama vile haki za watoto, mazingira, UKIMWI, uadilifu, jinsia, ajira za watoto na afya yameshughulikiwa kwa upana na utaalamu wa kupigiwa mfano. Mifano, michoro ya rangi na picha nyingi zimetumiwa ili kulifanya somo hili liwe la kuvutia zaidi. Mazoezi kemkem yanayozingatia vipengele vyote katika silabasi yamejumuishwa ili kumhusisha mwanafunzi kikamilifu. Kitabu hiki kinawalenga wanafunzi kutoka mazingira na jamii mbalimbali. Vilevile kitabu hiki kina mitihani ya majaribio ili kumwandaa mwanafunzi ipasavyo kwa mtihani wa K.C.P.E.
Shop By Categories
- International Curriculum
- TEXT
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
- International Curriculum
- TEXT
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books