-
Herald Have Fun Mathematical Activities Grade 2
Have Fun Mathematical Activities Grade 2 is a new KICD approved course book from Herald Education Limited. This book is authored in line with the new competency-based curriculum of 2017. The authors have extensive experience and expertise in teaching mathematics. All the competencies and skills required by the syllabus have been implemented in this book. Have Fun Mathematical Activities Grade 2 is authored to let learners enjoy the wonderful world of numbers in the most educative, fun and non-intimidating way.
In addition, the book has the following features:- Well thought out learning experiences that guide the learner on an all-rounded journey in education.
- Adequate assessment that follows the new rubrics-based style of assessment.
- A variety of practical activities that engage the learner in active learning.
- Exciting puzzles and number challenges that keep the learner 100% engaged.
- An accompanying Teachers’ Guide that provides invaluable support to the teacher. Answers are also provided in the guide.
-
Herald Utamu wa Kiswahili Shighuli GD2 2-6-6-3 by Wallah
by Wallah
Utamu wa Kiswahili: Shughuli Mzomzo, Gredi ya 2 ni hatua adhimu katika safari ndefu ya kuitalii lugha ya Kiswahili. Kitabu hiki ni hatua muhimu ya kwanza katika kutambua kipawa cha mwanafunzi na kupalilia ilhamu ya fanaka katika maisha yake.
Mambo yaliyomo yamepangwa kwa lugha nyepesi iliyojaa ubunifu na burudani. Mifano iliyotolewa ni ya kumwezesha mwanafunzi kuhisi uhalisi na uhai wa mazingira yake. Mpango uliotumika unamfanya mwanafunzi kujihisi kuwa sehemu ya kazi Yenyewe na kwa hivyo kuimarisha umilisi wa shughuli na kutimiza malengo ya kiwango, malengo maalum na malengo ya kijumla.
Utamu uliokolea hasa katika:
1. Shughuli za binafsi.
2. Shughuli za vikundi.
3. Shughuli za makundi.
4. Shughuli za utafiti na utaftishi.
5. Shughuli za kijamaa.
6. Shughuli za kijamii. Sa
7. Shughuli kumbukizi.
Utamu wa Kiswahili ni kitabu kinachofanya kumjenga mzalendo anayetarajiwa kuitetea na kuijenga nchi kwa dhati ya moyo.
Ni suluhu kwa ujifunzaji wa Kiswahili.
Usichelewe kugonga gogo kupata utamu wa mlio! -
Herald Utamu wa Kiswahili Shighuli GD3 2-6-6-3 by Wallah,Tsalwa
by Wallah, Tsalwa
Utamu wa Kiswahili: Shughuli Mzomzo, Gredi ya 3Â ni hatua adhimu katika safari ndefu ya kuitalii lugha ya Kiswahili. Kitabu hiki ni hatua muhimu ya kwanza katika kutambua kipawa cha mwanafunzi na kupalilia ilhamu ya fanaka katika maisha yake.
Mambo yaliyomo yamepangwa kwa lugha nyepesi iliyojaa ubunifu na burudani. Mifano iliyotolewa ni ya kumwezesha mwanafunzi kuhisi uhalisi na uhai wa mazingira yake. Mpango uliotumika unamfanya mwanafunzi kujihisi kuwa sehemu ya kazi Yenyewe na kwa hivyo kuimarisha umilisi wa shughuli na kutimiza malengo ya kiwango, malengo maalum na malengo ya kijumla.
Utamu uliokolea hasa katika:
1. Shughuli za binafsi.
2. Shughuli za vikundi.
3. Shughuli za makundi.
4. Shughuli za utafiti na utaftishi.
5. Shughuli za kijamaa.
6. Shughuli za kijamii. Sa
7. Shughuli kumbukizi.
Utamu wa Kiswahili ni kitabu kinachofanya kumjenga mzalendo anayetarajiwa kuitetea na kuijenga nchi kwa dhati ya moyo.
Ni suluhu kwa ujifunzaji wa Kiswahili.
Usichelewe kugonga gogo kupata utamu wa mlio! -
-
High Flyer Combined Encyclopaedia GD3
OTHER BOOKS AVAILABLE:
* The High Flyer Combined Encyclopaedia Pre-primary 1
* The High Flyer Combined Encyclopaedia Pre-primary 2
* The High Flyer Combined Encyclopaedia Grade 1
* The High Flyer Combined Encyclopaedia Grade 2
* The High Flyer Combined Encyclopaedia Class 4
* The High Flyer Combined Encyclopaedia Class 5
* The High Flyer Combined Encyclopaedia Class 6
* The High Flyer Combined Encyclopaedia Class 7
* The High Flyer Combined Encyclopaedia Class 8 -
I Love Me by Ahluwalia
by Ahluwalia
Help your children cope with stress.
Even young children experience stress. The stress can arise from social pressures or trying to live up to expectations, etc. Although you cannot protect your child from stress, you can help your child develop healthy ways to cope. Here are five helpful steps that you can take to help your child:
Seek advice from a family member, teacher or health professional if you think that your child needs further help. -
Intensive Encyclopedia CBC Grade 5
Intensive Encyclopaedia Grade Five is a book developed in line with the New Competency Based Curriculum. It aims at equipping learners with hands-on skills as opposed to the knowledge based curriculum. The book is a one-stop source of learning activities for all the subjects taught in Grade Five.
-
Jasusi na Hadithi Nyingine 5B (Storymoja)
by STORYMOJA
Je, unakumbuka siku yako ya kwanza_ kuendesha baiskeli? Unawezaje kupata shilingi milioni moja? Unahitaji ujuzi gani kumfunza asiyejua kusoma wala kuandika? Unaamini kuwa kila king’aacho si dhahabu? Ni nini madhara ya uvutaji sigara? Je, unaweza kufanya nini endapo rafiki yako mmoja ametoweka ghafla? Je, wewe umechangia nini shuleni mwenu?
Soma hadithi hizi ili kumfuatilia Zawadi na ndugu zake wanaposhiriki kwenye visa vya kusisimua na kujifunza mambo muhimu kuhusu utiifu, ujasiri na kujiamini.
Shop By Categories
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books











