-
Mentor Kielekezi Cha Kiswahili Gredi 6 (Approved)
Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 6 kimeandaliwa kwa ustadi ili kumrahisishia mwanafunzi kuelewa na kufikia matokeo maalumu yanayotarajiwa.
-
Spotlight IRE Learner’s Grade 6 (Approved)
Spotlight Islamic Religious Education Learner’s Book Grade 6 has been uniquely designed to equip the learner with skills, values and competencies that will enable him or her to grow spiritually and morally. The book will greatly prepare the learner to grow as a responsible citizen who is at peace with Allah (S.W.T), self, others and the environment.
-
Spotlight Home Science Learner’s Grade 6
Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6 kimeandaliwa wa ustadi ili kumwezesha mwanafunzi kumudu mtalaa mpya unaolenga umilisi kwa njia sahili, yenye mvuto na ya kumjumuisha moja kwa moja kwenye shughuli za ufunzaji na ujifunzaji.
-
Spotlight Mathematics Learner’s Grade 6
Spotlight Mathematics Learner’s Book Grade 6 has been uniquely designed to greatly benefit Grade Six learners in handling Mathematics in line with the New Curriculum. It comprehensively covers the Grade 6 Mathematics Curriculum Design as per the Competency-Based Curriculum. It is presented in a clear, simple and precise language that makes learning stimulating and interesting.
-
Cheche za Insha Gredi 6
Kinaakisi Mtalaa wa Umilisi
-Mazoezi ya ujuzi wa kidijitali
-Mwongozo wa uandishi hatua kwa hatua
-Nafasi za kufanyia mazoezi katika kila sura
-Vielelezo 25 vya insha zinazogusia Mtalaa wa Umilisi
-Ujuzi wa kuandika unaokuza ujifunzaji endelevu maishani
-Mazoezi ya kujenga msamiati yanayojikita kwa mwanafunzi
-Vichocheo zaidi ya 100 vya mazoezi ya kuandika insha bora
-Fursa ya kuchapishwa insha yako na kampuni ya Storymoja
-
Access Tuchangamkie Kusoma Grade 6
by ACCESS
Tuchangamkie Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya rejea kuhusu stadi ya kusoma. Chini ya mfumo wa Mtaala wa Kiumilisi (CBC), stadi ya kusoma imepewa nafasi mahususi ambapo mbinu na aina za kusoma vinatiliwa mkazo,ili kutosheleza mahitaji haya ya mtaala wa Kiumilisi, vitabu vya Tuchangamkie Kusoma_ vimeandikwa kukidhi haja ya wanafunzi wa Gredi ya 4, 5 na 6 kuambatana na mahitaji hayo ya Mtaala wa Kiumilisi.
Kitabu hiki kinashughulikia aina zote za kusoma: kusoma Kwa ufasaha, kusoma kwa kina, kusoma kwa ufahamu na kusorma kwa mapana kwa nijia rahisi na nyepesi kueleweka. Kina mifano ya kutosha na mazoezi maridhawa yanayompa mwanafunzi umilisi ufaao kuyakabili maisha na kumwandaa vyema kwa ajili ya mitihani yake.
-
Spotlight Kurunzi ya Kiswahili Mwanafunzi Grade 6
Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6 kimeandaliwa kwa ustadi ili kumwezesha mwanafunzi kumudu mtalaa mpya unaolenga umilisi kwa njia sahili, yenye mvuto na ya kumjumuisha moja kwa moja kwenye shughuli za ufunzaji na ujifunzaji.
Shop By Categories
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books