-
KLB Early Grade Kiswahili Mazoezi ya Lugha Gredi 2
by KLB
Kitabu hiki cha Kiswahili Mazoezi ya Lugha cha Gredi ya 2 kinatumia mbinu za ujifunzaji ambazo zimefanyiwa utafiti. Mbinu hizi zitamsaidia mwanafunzi kukuza stadi za lugha ambazo hatimaye husaidia ukuzaji wa umilisi wa kimsingi, ukuzaji wa maadili na utekelezaji wa shughuli za kijamii pamoja na kuzingatia masuala mtambuko. Masuala makuu yaliyo katika kitabu hiki yametumiwa kama chombo cha kukuza stadi nne za lugha: Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika.
-
KLB Tusome Early Years Education Mathematics Grade 2
by KLB
This book is for use by learners in Grade 2.
This book has:
-Covered all the concepts in the mathematics curriculum design for grade 2.
-Identified lessons for each week
-Variety of examples and activities
-Variety of strategies for working out questions
-Clear illustrations
-
Storymoja Amani’s Trip and Other Stories 2B
by STORYMOJA
Amani is going on a school trip with her classmates. However, along the way, they run into a problem. Before they reach their destination, they solve the problem in the most surprising way! Read this exciting story to find out what happens.
Amani’s trip and other stories is a collection of three interesting stories. You will not only find them fun to read, but also learn values such as unity, peace and responsibility.
Prepare to go on this interesting adventure with Amani, her brother Hodari and her friends from school.
-
Computers Made Friendly 2
by PARAMOUNT BOOKS
Computer made friendly is a series that has been developed with the objective of initiating into students an information technology aptitude bearing in mind the current syllabi of the various boards. It provides illustrative information about the basics of computers its various applications its different languages operating systems networking spreadsheets databases and presentations. It also gives an overview of the internet and e-commerce. It is an activity based series with plenty of practical examples and exercises.
-
Queenex Premier Kiswahili Grade 2 Mazoezi
by AMINA ZULEKA
Premier Kiswahili Kitabu cha Mazoezi Gredi ya 2 ni kitabu cha mazoezi kilichoambatanishwa na Mtaala Mpya wa Elimu.
Kitabu hiki kitamwezesha mwanafunzi kupata maarifa, ustadi, maadili, mitazamo na umilisi ambao utaunda msingi wa dhana
zinazopatikana katika viwango vya juu vya elimu.
Kitabu hiki kina picha zenye rangi kamili na shughuli zilizochunguzwa vizuri na za kirafiki kama vile mazoezi ya kidijitali, michezo,
mashairi na kuchora kati ya mengine.
Shughuli katika kitabu hiki zinamruhusu mwanafunzi kufanya kazi peke yake na pia katika vikundi ili kuhakikisha kuwa
anashiriki katika uzoefu wa kusoma. Kuna muhtasari mfupi wa yale waliyojifunza baada ya kila mada. Pia kuna maswali ya
majaribio mwishoni mwa kitabu. -
Made Familiar: Siku Yenye Vituko Level 2
by VICTOR
Taji na Furaha wana furaha. Familia yao inaenda safarini pamoja. Je, watashuhudia mambo gani njiani? Jiunge na familia ya kina Taji na Furaha katika safari iliyojaa vituko.
-
Kalulu na Mti Mkavu 4e
by TANGUKO
Kalulu anampeleka ng’ombe wake sokoni kumuuza. Njiani, anapata mnunuzi wa ajabu ambaye ni mti wa mbuyu uliokauka.
Itakuwaje mti uuziwe ng’ombe?
Kalulu na Mti Mkavu ni kitabu cha wanafunzi wa darasa la nne katika shule za msingi. Kitabu hiki kinalenga kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma.
Mradi wa kusoma ni vitabu vya ziada ambavyo vinaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.
Shop By Categories
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books