-
Urafiki wa Chanda na Pete by KLB
by KLB
Urafiki wa Chanda na Pete ni hadithi inayopatikana katika mfululizo mpya wa hadithi za Kiswahili za Nasaha Zetu zinazochapishwa na K LB. Hadithi hii ni ya wanafunzi wa darasa la pili. Marafiki wema hushirikiana kutenda wema. Pia, hufunzana tabia njema. Je, Amino na Zawadi ni marafiki wema?KSh110.00Urafiki wa Chanda na Pete by KLB
KSh110.00 -
-
Focus on CRE Activities GD2 Trs (Approved) by Muga
by Muga
Focus on Christian Religious Education Activities for Grade Two is part of a series of primary C.R.E. course books. This book is designed to cover the revised Christian Religious Education in the new Competency Based Curriculum.
The key features of this book are:
This book has been developed by a team with a vast experience in Christian Religious Education. The authors have a strong background in teaching C.R.E. and curriculum development. Both are seasoned authors too.
This teacher’s guide has been provided to enable the teacher use the learner’s book.KSh174.00 -
-
-
Samaki Watatu na Wavuvi by Sasa Sema
by Sasa Sema
Walikuwa samaki watatu wenye sifa tofauti tofauti. Wavuvi wawili walitaka kuwavua. Kunaswa au kutonaswa kwao kutategemea akili za kila mmoja wao.
Samaki Watatu na Wavuvi (Pepea na Kipepeo 28) ni kitabu kinachonuiwa kumpa mwanafunzi fursa ya kufanya mazoezi ya kusoma kwa ziada huku akijiburudisha na kujifunza mambo kadhaa muhimu. Kinaweza kutumiwa pamoja na kitabu chochote cha kozi.KSh215.00Samaki Watatu na Wavuvi by Sasa Sema
KSh215.00 -
Made Familiar: Nadia Breaks Her Promise Level 2
by MAGDELINE
Nadia likes attending birthday parties to eat. Jeff, his elder brother, has been invited to a birthday party. Nadia wants to go with him. Jeff complains that Nadia will embarrass him by eating too much. Nadia promises not to eat anything untill Jeff tells her so. Will Nadia keep
the promise?KSh225.00 -
Made Familiar: Maria taabani
by MWANGI
Maria ana mazoea ya kulala hadi Mama amwamshe. Maria pia husahau kufanya kazi zake za shule hadi Mama amkumbushe. Mama anaenda safari ya mbali. Chacha ambaye ni kakake Maria anataka kumfunza Maria adabu kwa kukosa kumtii. Je, Maria atafanya nini ili
asijipate taabani?KSh225.00Made Familiar: Maria taabani
KSh225.00 -
Made Familiar: Ali apigania haki yake Level 2
by MWANGI
Ali, mvulana mwenye umri wa miaka kumi, anatamani kusoma hadi chuo kikuu. Hata hivyo, nyanya yake anamwagiza kumchungia
mbuzi badala ya kwenda shuleni. Ali anabuni mbinu za kurejea shuleni na wakati huo huo kuendelea kumsaidia nyanya yake. Je, juhudi
zake zitazaa matunda?KSh225.00 -
Made Familiar: Siku Yenye Vituko Level 2
by VICTOR
Taji na Furaha wana furaha. Familia yao inaenda safarini pamoja. Je, watashuhudia mambo gani njiani? Jiunge na familia ya kina Taji na Furaha katika safari iliyojaa vituko.
KSh225.00Made Familiar: Siku Yenye Vituko Level 2
KSh225.00 -
Mwanasayansi 2f by Egara Kabaji
by Egara Kabaji
Mwanasayansi 2f ni kitabu cha wanafunzi wa darasa la pili katika shule za msingi. Kitabu hiki kinalenga kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma.Tami anataka kuwa mwanasayansi. Atafanya nini Hi afikie ndoto yoke?Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada ambavyo vinaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.KSh230.00Mwanasayansi 2f by Egara Kabaji
KSh230.00 -