Spotlight Kurunzi ya Kiswahili GD3 Mwalimu by matei

KShs515.00

In stock

by matei
Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwalimu Gredi ya Tatu kimeandaliwa kwa ustadi ili kumwezesha mwalimu kumudu mtaala mpya 2017 unaolenga umilisi kwa mwanafunzi haswa katika shughuli za ufunzaji na ujifunzaji.
Kitabu hiki

Kimeshughulikia mada kwa namna ambayo inomwezesho mwanafunzi kushiriki kikamilifu kotiko ujifunzop.
• Mada na shughuli za darasani zimeteuliwa kwa uangalifu kumjengea mwanalunzi umilisi wa ama mbalimbali.
• Kuna mazoezi na mijarabu anuwai (mazoezi, shughuli kwa mwanafunzi, miradi, mijarabu ya mwisho we made) kumwezesha mwalimu kupima umilisi wa mwanafunzi wa stadi mbalimbali za lugha.
• Picha halisi na michoro ya kuvutia zinazosaidia katika uelewo wa mada.
• Kinalenga kumsaidia mwanafunzi kutumia vifaa vya teknolojia kama vile video, redio, tabuleti katika kurahisisha ufunzaji.
• Mbinu tofauti za ufunzaji zimejumuishwa kama vile miradi shambani. shughuli nje yo darasani katika jamii (shambani,dukonissokomosaf). kumwolika mgeni (wa usalama.usafi. mtaalamu). kutumia nyimbo,mashairi, kumhusisha mzazi au mlezi, uchoraji no unfunzaji kotiko vikundi. Mbinu hizi zinasaidia kujenga umilisi wa mwanafunzi.
• Masuala mtambuko no kuhusisho moadili kujengo modo tofouti imeshughulikiwa.
• Kitabu cha mwalimu kipo iii kumpa mapendekezo katika ufunzaji.

Compare
Category:
Be the first to review “Spotlight Kurunzi ya Kiswahili GD3 Mwalimu by matei”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

See It Styled On Instagram

    No access token
Show Buttons
Hide Buttons

Main Menu

1
Scan the code
Thank you for visiting us,

Need any help?