Tumbili na Kinanda Grade 6
Roll over image to zoom in
KShs440.00
by StoryMoja
Tumbili anakiiba kinanda cha Mzee Tumbo. Anakitumia kinanda hicho kuwatumbuiza wanyama wa pori wanaofika kwenye himaya yake kila siku ili kusakata rumba wawili : wawili. Tumbili anajipata mashakani baada ya kubainika kuwa kinanda chake chenye mvuto wa sauti kilikuwa kifaa cha mzee Tumbo. Hukumu yake ilikuwa mijeledi ishirini kwa shtaka la – kwanza, na mijeledi mingine ishirini kwa shtaka la pili pamoja ,na kazi ya sulubu; Kazi ya Nyani na Tembo inadhihirika punde tu hukumu inapotolewa. Je, Tumbili atastahimili adhabu hiyo?
Soma hadithi ya Tumbili na Kinanda ufahamu kilichomfika Tumbili baada ya hukumu kutolewa kuhusu wizi alioutekeleza.
Reviews
There are no reviews yet.