Longhorn: Sudi na Shada Wasoma Lishe Bora GD2 by Nyambeka

KShs250.00

In stock

by Nyambeka
Sudi na Shada wanaelewa umuhimu wa lishe bora. Wakiwa shuleni, wanahakikisha kuwa wamepata lishe bora. Vyakula wanavyopikiwa ni vya lishe bora. Je, wanapikiwa vyakula vipi? Vyakula hivi vina umuhimu upi kwao?
Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha uelewawao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi sio tu za kuelimisha na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo yatawasaidia wanefunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra.

Compare
Category:
Be the first to review “Longhorn: Sudi na Shada Wasoma Lishe Bora GD2 by Nyambeka”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

See It Styled On Instagram

    No access token
Show Buttons
Hide Buttons

Main Menu

1
Scan the code
Thank you for visiting us,

Need any help?