-
Longman Elementary Dictionary
A unique combination of dictionary and thesaurus that is fun and simple for children to use. The colourful visuals are perfect for young learners and the word families, word origins and word Building boxes all increase vocabulary and help students become better writers. Also available: a pedagogical guide that helps you use this dictionary to teach vocabulary.
-
Lost Shorts 2d
The New Progressive Primary English Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course. There are ten storybooks for each class specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course. Here is a reading scheme that offers the modern child an excellent mix of graded stories all packed with many exciting things. Now the child has fun that’s built to last.
-
Masomo ya Msingi Darasa la 8 by Waweru
by Waweru
Masomo ya Msingi 8 ni kitabu cha none katika mfululizo wa vitabu vinane vya Kiswahili katika Shute za Msingi. Kilo kimoja cha vitabu hivi Kinakuza masomo ya kitabu kinachofuata. Vitabu hivi vimeandikwa kulingana na matarajio ya ratiba iliyotolewa na taasisi ya elimu (2002). Michoro iliyomo katika kitabu hiki ni ya kupendeza kwa kilo mwanafunzi anayejifunza Kiswahili. Kitabu hiki kinafundisha lugha kutegemea stadi na maarifa kama inavyopendekezwa na taasisi ya Elimu ya Kenya. Mifano iliyotolewa ni ile ambayo mwanafunzi anakumbana nayo katika maisha yoke ya kila siku. Masomo yaliyomo katika Masomo ya Msingi 8 yamepangwa kulingana na mgawo wa stadi zilizoko kwenye silabasi. Kila sura katika kitabu hiki imegawika kama ifuatavyo: A. Ufahamu B. Sarufi C. Msamiati D. Kusikiliza no kuongea E. Kuandika Kitabu hiki kimejengwa katika misingi thabiti ya hatua kwa hatua, hali ambayo itamwezesha mwanafunzi kusoma taratibu na katika hali ya kujiendeleza. Mna pia mazoezi ya kutosha ya kumjenga mwanafunzi ipasavyo. Waandishi wa mfululizo huu wa Masomo ya Msingi ni wenye tajriba kuu katika ualimu na wanayafahamu mahitaji ya wanafunzi waiiowaandikia. Ni matumaini yetu kwamba mfululizo wa masomo haya utakuwa mwangaza kwa wote. -
Mazoezi na Marudio Mufti ya Kiswahili 8 by Wallah Bin Wallah
by Wallah Bin Wallah
Mazoezi na Marudio Mufti ya Kiswahili, Darasa la 8 ni kitabu kilichoandikwa kwa weledi mkuu kwa madhumuni ya kumwandaa na kumnoa mwanafunzi anayejitayarisha kwa mtihani wa somo la Kiswahili – K.C.P.E. Kitabu hiki kimeandikwa kwa kuzingatia silabasi mpya ya shuleza msingi. Kinalenga kuhamasisha na kupiga msasa usasa wa kutoa mazoezi na marudio kwa wanafunzi na wote wanaosoma lugha ya Kiswahili katika Afrika Mashariki, ujirani wake na kote ulimwenguni.Kitabu hiki kimezingatia msamiati mwafaka na sahihi, miundo, mitindo na mbinu zinazotumiwa katika kuandaa na kutahini somo la Kiswahili katika ngazi ya K.C.P.E.Kwa mwalimu, kitabu hiki chenye karatasi themanini (80) za maswali ya mazoezi ya K.C.P.E pamoja na majibu yake ni nyenzo ya kipekee ya kuwatathmini, kuwaboresha na kuwaandaa wanafunzi kwa mtihani wa kitaifa. Katika maswali haya mna mazoezi ya mazoea, uzoefu na kuzoesha ili mwanafunzi au yeyote akitumiaye kitabu hiki apate kichocheo, mwamko na hamu kiasi cha kwamba akimaliza zoezi moja aendelee kufanya jingine na jingine hadi ajikute amekuwa mzoefu wa mazoea ya kufanya mazoezi ya Kiswahili Mufti.Vivuto na vivutio halisi katika kitabu hiki ni jinsi maswali yalivyoulizwa kwa namna ya kuchangamsha na kudadisisha. Fauka ya hayo, vifungu vya ufahamu vina upekee kwa maana ya kuhekimisha, kushajiisha, kunasihi na kuarifisha, kwa maarifa kemkemu. -
Mbinu za Kisasa za kufundishia Walimu by Musau
Hakuna kitabu kimoja cha Kiswahili kinachoshughulikia mbinu na mikakati ya kufundisha mada mbalimbali za lugha na fasihi. Mbinu za Kisasa za Kufundishia Kiswahili ni kitabu kinachoshughulikia ufundishaji wa Kiswahili. Kitabu hiki kinabainisha na kufafanua mbinu za kisasa za kufundishia mada kama: matamshi, sarufi, msamiati, ufahamu, insha na fasihi. Dhana muhimu katika ufundishaji wa lugha na fasihi zinafafanuliwa na kutolewa mifano mwafaka inayotokana na tajriba ndefu ya waandishi wa kitabu hiki katika ufundishaji wa Kiswahili. Kitabu hiki kitawafaa walimu wa shule za msingi, za upili na vyuo.
Shop By Categories
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books