- 
	Longhorn: Sudi na Shada Wamwokoa Luka GD3by MOMANYI Sudi na Shada Wamwokoa Luka Luka anakosa masomo ya gredi ya pili. Sudi na Shada wanaonesha ujasiri kwa kuhakikisha kuwa wamempata Luke na kumsoidia kurudi shuleni. Je, Luka alikuwa wapi? Ni mambo yepi yalikuwa yanamzuia Luke kusorna no wenzake? Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha uelewawao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi sio tu za kuelimisha na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo yatawasaidia wanefunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra. 
- 
	Longhorn: Sudi na Shada Wamwokoa Luka GD3 by Momanyiby Momanyi 
 Sudi na Shada Wamwokoa Luka
 Luka anakosa masomo ya gredi ya pili. Sudi na Shada wanaonesha ujasiri kwa kuhakikisha kuwa wamempata Luke na kumsoidia kurudi shuleni. Je, Luka alikuwa wapi? Ni mambo yepi yalikuwa yanamzuia Luke kusorna no wenzake?
 Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha uelewawao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi sio tu za kuelimisha na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo yatawasaidia wanefunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra.
- 
	Longhorn: Sudi na Shada Wasoma Lishe Bora GD2 by Nyambekaby Nyambeka 
 Sudi na Shada wanaelewa umuhimu wa lishe bora. Wakiwa shuleni, wanahakikisha kuwa wamepata lishe bora. Vyakula wanavyopikiwa ni vya lishe bora. Je, wanapikiwa vyakula vipi? Vyakula hivi vina umuhimu upi kwao?
 Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha uelewawao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi sio tu za kuelimisha na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo yatawasaidia wanefunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra.
- 
	Longhorn: Sudi na Shada Watuzwa Grade 3 by Nyambekaby Nyambeka 
 Sudi na Shada ni wanafunzi wa gredi ya tatu. Wakati wa sherehe shuleni kwao, wazazi wote wanavutiwa na mienendo yao. Mgeni wa heshima anawatambua na kuwatuza. Je, Sudi na Shada wamefanya nini kiasi cha kutuzwa hivi?
 Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha uelewa wao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi sio tu za kuelimisha na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo yatawasaidia wanafunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra.
- 
	Longhorn: Super Sara and the Saturday Activity GD2 by Mwanigaby Mwaniga 
 Super Sara and the Saturday Activities It is Saturday, Super Sara’s favourite day of the week. She has a list of activities to do. Her brother Juma and her friends Tasha and Bobo help her with the activities. What are Super Sara’s Saturday activities? And Does Super Sara finish doing all of them?
 Longhorn Read and Discover is a new series of readers for the Competence-Based Curriculum (CBC) specially written to promote the tore competences and the PCIs (Pertinent and Contemporary Issues) in a fun, educative and entertaining manner. The readers come with a range of activities that will help learners boost their creativity, imagination and critical thinking.
- 
	Longhorn: Ukarimu wa Maria Grade 2 (Kiswahili) by Ken Waliboraby Ken Walibora 
 Wakati wa mapumziko uwanjani, Maria anagundua kuwa rafiki yake Musa hana furaha. Musa amehuzunika na analia. Maria anamtuliza Musa na kuhakikisha kuwa ameanza kutabasamu. Je, Musa alikuwa na matatizo yepi? Maria anamsaidiaje?
 Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha uelewa wao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi sio tu za kuelimisha na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo yatawasaidia wanafunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra.
- 
	Longhorn: Usalama wa Sudi na Shada GD2 by Wekesaby Wekesa 
 Sudi na Shada ni wananaujali na kuudumisha usalama wao kila mahal. Wanapokuwa shuleni, Shada anaumia wakicheza uwanjani. Sudi anashirikiana na wenzake kumsaidia Shada. Je, Shada anaumiaje? Sudi na wenzake wanamsaidiaje Shada?
 Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha uelewa wao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi sio tu za kuelimisha na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo yatawasaidia wanafunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra.
- 
	Longhorn:Super Sara and the Stray Dog GD3 by Mwanigaby Mwaniga 
 Super Sara and the Stray Dog It is an exciting Saturday. Super Sara, Tasha, Bobo and Juma go for a fun day at City Park with Sara’s parents. Juma comes across a stray dog in the park. Sara warns Juma against playing with the dog. Why is Sara against Juma playing with the stray dog?
 Longhorn Read and Discover is a new series of readers for the Competence-Based Curriculum (CBC) specially written to promote the tore competences and the PCIs (Pertinent and Contemporary Issues) in a fun, educative and entertaining manner. The readers come with a range of activities that will help learners boost their creativity, imagination and critical thinking.
- 
	Longman Elementary DictionaryA unique combination of dictionary and thesaurus that is fun and simple for children to use. The colourful visuals are perfect for young learners and the word families, word origins and word Building boxes all increase vocabulary and help students become better writers. Also available: a pedagogical guide that helps you use this dictionary to teach vocabulary. 
- 
	Longman Explore Biology Form 1 by Josephine Kavochi kadasi…by Josephine Kavochi kadasia, James Ngulu 
 Explore Biology 1 covers the first year of the new Biology syllabus of April 2002. The authors have aimed to equip students with the skills and knowledge to understand themselves, the world around them and natural phenomena.
 This book integrates learning text with activities and experiments to enable students to learn both the theory and practice of Biology. The practical features of the book promote investigation and independent thinking.
 Other merits of this book include:
 This first book in the Explore Biology  series meets the needs of every Form 1 student and provides a solid foundation.
 Explore Biology 1 is part of a comprehensive science course offered by Longman Kenya.
 Shop By Categories
            - International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books