Made Familiar: Tito anatamani Kuchora level 1

KShs200.00

In stock

by OMONDI

Tito hana vidole mikononi. Hata hivyo, ana ndoto ya kufanya kazi ya kuchora na kupaka rangi kama wazazi wake. Siku moja, mwalimu anawaambia wachore wanyama wapendao. Je, Tito atawezaje kuchora bila vidole? Soma hadithi hii ili ujionee jinsi Tito anavyotumia ubunifu kutekeleza malengo yake.

Compare
Be the first to review “Made Familiar: Tito anatamani Kuchora level 1”

Your email address will not be published.

Reviews

There are no reviews yet.

See It Styled On Instagram

    No access token
Show Buttons
Hide Buttons

Main Menu

1
Scan the code
Thank you for visiting us,

Need any help?