Longhorn Marudio ya Kiswahili Grade 5

KSh560.00

In stock

by LONGHORN

Longhorn Marudio ya Kiswahili – Gredi ya 5 ni kitabu chenye mazoezi ainati ya marudio yaliyokusudiwa kumsaidia mwanafunzi wa Gredi ya 5 kudurusu kwa urahisi. Kimezingatia kikamilifu maelekezo ya mtaala wa umilisi katika uandishi wake. Vilevile, kimejikita katika vipengele vinne vikuu vya ufunzaji wa lugha ya Kiswahili. Kuna:

-Majaribio ya kufungua, kati na mwisho wa mihula yenye muundo mpya wa mtihani wa kitaifa kwa kuzingatia mtaala wa umilisi,

-Mazoezi yanayohusu kusikiliza na kuzungumza, kusoma, sarufi na kuandika,

-Michoro inayovutia na vielelezo vya kuwasaidia wanafunzi kuelewa dhana mbalimbali kwa urahisi,

-Maelezo mafupi ya dhana mbalimbali muhimu.

Waandishi wa kitabu hiki wana tajriba pana ya ufundishaji na utahini wa somo la Kiswahili. Kwa mwalimu, mzazi au mlezi, kitabu hiki chenye mazoezi ya marudio na majaribio ya mitihani ni nyenzo muhimu ya kumboresha na kumwandaa mwanafunzi kwa mitihani ya somo la Kiswahili.

Compare
Be the first to review “Longhorn Marudio ya Kiswahili Grade 5”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

See It Styled On Instagram

    No access token
Show Buttons
Hide Buttons

Main Menu

1
Scan the code
Thank you for visiting us,

Need any help?