Longhorn: Kalamu ya Maria Imepotea Grade 1

KShs250.00

In stock

by Ken Walibora

Maria anafurahia mwalimu anapoingia darasani. Ghafla, furaha hii inapotea na anakuwa mwenye huzuni. Anaanza kulia, machozi yanamtoka. Maria haioni kalamu yake. Kalamu ya Maria i wapi?

Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha uelewa wao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi sio tu za kuelimisha na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo yatawasaidia wanafunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra.

Compare
Be the first to review “Longhorn: Kalamu ya Maria Imepotea Grade 1”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

See It Styled On Instagram

    No access token
Show Buttons
Hide Buttons

Main Menu

1
Scan the code
Thank you for visiting us,

Need any help?