-
Kiswahili Kidato Cha 4
Hili ni toleo jipya la Kiswahili kwa Kidato cha Nne, Kitabu cha Wanafunzi. Kitabu hiki ni cha nne katika mfululizo wa vitabu vinne vya Kiswahili kwa shule za upili. Kitabu hiki kimefuata mfumo wa elimu wa 8-4-4 na kufanyiwa marudio kulingana na silabasi mpya ya Kiswahili ya 2002 ya Kidato cha Nne. Katika toleo hili, maelezo zaidi juu ya nyanja mbalimbali za lugha yameshughulikiwa kama vile, mpangilio mpya wa ngeli, kusoma kwa kina, na msamiati na istilahi kimuktadha. Pia, maswala ibuka kama vile maadili, UKIMWI na mazingira yamejitokeza. Mifano zaidi, michoro na picha zimetumiwa ili kufanya somo hili liwe la kuvutia. Ni kitabu ambacho wanafunzi watafurahia kukitumia.
KShs770.00Kiswahili Kidato Cha 4
KShs770.00 -
Kiswahili Kitukuzwe kidato cha 4 Mwongozo wa Mwalimu by Watuha
by Watuha
Hili ni toleo la pili la Kiswahili Kitukuzwe Darasa la Nne Mwongozo wa Walimu. Kitabu hiki ni cha kwanza katika mfululizo wa vitabu vinane vya walimu vya lugha ya Kiswahili kwa shule za msingi. Mwongozo huu wa walimu umeandikwa kwa njia itakayomfaa mwalimu kwa kumwangazia namna ya kushughulikia somo analofundisha. Mapendekezo ya shughuli za mwalimu na mwanafunzi yametolewa hatua kwa hatua katika kila somo. Vifaa anavyoweza kutumia mwalimu vimependekezwa kama inavyohitajika kuambatana na silibasi. Inapobidi, maelezo na mifano zaidi ya funzo husika yametolewa kwa mwalimu iii aweze kulikabili funzo hilo kwa ujasiri. Hatimaye majibu ya maswali na mazoezi yametolewa ambapo mwalimu anaweza kuyalinganisha na majibu yake mwenyewe au ya wanafunzi hasa pale ambapo jibu si moja tu. Vitabu vifuatavyo vya Kiswahili ambavyo vimechapishwa na KLB, pia vyapatikana katika mfululizo huu:KShs830.00 -
KShs739.00
-
Kiswahili Kitukuzwe Kidato Cha 2
Hili ni toleo jipya la Kiswahili kwa Kidato cha Pili, Kitabu cha Wanafunzi. Kitabu hiki ni cha pili katika mfululizo wa vitabu vinne vya Kiswahili kwa shule za upili. Kitabu hiki kimefuata mfumo wa elimu wa 8-4-4 na kufanyiwa marudio kulingana na silabasi mpya ya Kiswahili ya Kidato cha Pili. Katika toleo hili, maelezo zaidi juu ya nyanja mbalimbali za lugha yameshughulikiwa kama vile, mpangilio mpya wa ngeli, kusoma kwa kina, na msamiati na istilahi kimuktadha. Pia, maswala ibuka kama vile maadili, UKIMWI na mazingira yamejitokeza. Mifano zaidi, michoro na picha zimetumiwa ili kufanya somo hili liwe la kuvutia.
KShs674.00Kiswahili Kitukuzwe Kidato Cha 2
KShs674.00 -
Kiswahili Kitukuzwe Kidato Cha 3
Hili ni toleo la nne la Kiswahili kwa Kidato cha Tatu, Kitabu cha Wanafunzi. Kitabu hiki ni cha tatu katika mfululizo wa vitabu vinne vya Kiswahili kwa shule za upili.
Kitabu hiki kimefuata mfumo wa elimu wa 8-4-4 na kufanyiwa marudio kulingana na silabasi mpya ya Kiswahili ya Kidato cha Tatu
KShs750.00Kiswahili Kitukuzwe Kidato Cha 3
KShs750.00 -
Kiswahili Kitukuzwe Kidato Cha 3 Kitabu Cha Mwalimu by Watuha
by Watuha
Hili ni toleo la nne la Kiswahili kwa Kidato cha Tatu, Mwongozo wa Walimu. Kitabu hiki ni cha tatu katika mfululizo wa vitabu vinne vya Kiswahili kwa shule za upili. Kitabu hiki kimefuata mfumo wa elimu wa 8-4-4 na kufanyiwa marudio kulingana na silabasi mpya ya Kiswahili kwa Kidato cha Tatu. Katika toleo hill, maelezo zaidi juu ya nyanja mbalimbali za lugha yameshughulikiwa kama vile, mpangilio mpya wa ngeli, kusoma kwa kina, na msamiati na istilahi kimuktadha. Pia, masuala ibuka kama vile maadili, UKIMWI na mazingira yamejitokeza. Mifano zaidi, michoro na picha zimetumiwa ili kufanya somo hili liwe la kuvutia. Ni kitabu ambacho walimu watafurahia kukitumia.KShs690.00 -
KLB Building Construction Level 2 by Waithaka
by Waithaka
KShs348.00 -
KLB Drawing & Design Level 1 by KLB
by KLB
This series is suitable for Secondary Schools and Technical, Industrial, Vocational and Entrepreneurial Training (TIVET) courses.KShs680.00KLB Drawing & Design Level 1 by KLB
KShs680.00 -
KLB Drawing and Design Level 3 by KLB
by KLB
This series is suitable for secondary schools and Technical Industrial Vocational Entrepreneurial Training (TIVET) courses.KShs1,230.00KLB Drawing and Design Level 3 by KLB
KShs1,230.00 -
-
KLB Electricity Level 2 by KLB
by KLB
This series is suitable for secondary schools and Technical Industrial Vocational Entrepreneurial Training (TIVET) courses.KShs633.00KLB Electricity Level 2 by KLB
KShs633.00 -