• KLB Skillgrow Mathematical PP2 Trs (Approved) by Mbugua

    by Mbugua
    KLB Visionary Mathematical Activities Teacher’s Guide for Pre-Primary 2 is a guide developed by a team of experts with long standing experience in teaching and curriculum development.
    This teacher’s guide equips the teacher with vital tips on methodology. The guide should be used alongside mathematical activities workbook one to effectively cater for the new mathematicas design.

  • KLB Skillgrow Mazoezi ya Lugha Hatua 1 Trs … by Wandera

    by Wandera
    KLB Mazoezi ya Kiswahiil Hatua ya Kwanza (Mwongozo wa Mwalimu) ni kitabu mojawapo kati ya vitabu vinavyochapishwa na Kenya Literature Bureau vya msururu wa KLB Visionary. Msururu huu wa vitabu umezingatia Mtalaa wa kiumilisi wa mwaka wa 2017 wa masomo ya shule za msingi.
    Kitabu hiki kimekusudiwa kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wa kutumia stadi zote nne za lugha ya Kiswahili; Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika. Kupitia stadi hizi, mwanafunzi anakuza uwezo wake wa lugha.
    Toleo hili limejumuisha mambo muhimu ambayo yanachangia ujifunzaji wa sasa ambayo ni masuala mtambuko, maswali dadisi, masuala ya jinsia, utendaji wa mwanafunzi, picha murua za kuchangamsha na kuibua hamu ya kudadisi kwa mwanafunzi na mbinu tofauti za kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wake wa kujifunza. Mazingira halisi ya mwanafunzi yamezingatiwa katika kukuza kazi hii. Hili linamwezesha mwanafunzi kujifunza katika hali halisi. Lugha sahili imetumika ili kurahisisha kuelewa kwa mada zote katika kitabu.
    Msururu huu wa KLB Visionary umeshughulikiwa na jopo la walimu stadi wenye tajriba_ maalum katika kiwango cha shule ya msingi cha ujifunzaji. Kitabu hiki kimetolewa pamoja na Kitabu cha Mwanafunzi ambacho kitamwezesha mwalimu au msaidizi wa mwanafunzi kushughulikia kikamilifu mada zote zilizoko kwenye mtalaa.

  • KLB Skillgrow Mazoezi ya Lugha Hatua ya 1 by Sheila Wandera, Susan Mu…

    by Sheila Wandera, Susan Mukundi, Phillip Lumwamu, Mutahi Miricho, Diana Madara
    KLB Skillgrow Mazoezi ya Lugha Hatua ya Kwanza (Kaaba cha Mwanafunz0 ni kitabu mojawapo kati ya vitabu vinavyochapishwa na Kenya Literature Bureau vya msururu wa Skillgrow. Msururu huu wa vitabu umezingatia Mtalaa wa kiumilisi wa mwaka wa 2017 wa masomo ya shule za Nasari.
    Kitabu hiki kimekusudiwa kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wa kutumia stadi zote nne za lugha ya Kiswahili; Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na kujiandaa Kuandika. Kupitia stadi hizi, mwanafunzi anakuza uwezo wake wa lugha.
    Toleo hili limejumuisha mambo muhimu ambayo yanachangia ujifunzaji wa sasa ambayo ni masuala mtambuko, maswali dadisi, masuala ya jinsia, picha murua za kuchangamsha na kuibua hamu ya kudadisi kwa mwanafunzi na mbinu tofauti za kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wake wa kujifunza. Mazingira halisi ya mwanafunzi yamezingatiwa katika kukuza kazi hii. Hili linamwezesha mwanafunzi kujifunza katika hali halisi. Lugha sahili imetumika ili kurahisisha kuelewa kwa mada zote katika kitabu hiki.

  • KLB Skillgrow Mazoezi ya Lugha Hatua ya 2 by KLB

    by KLB
    KLB Skillgrow Mazoezi ya Lugha Hatua ya Pili (Kaaba cha Mwanafunzi) ni kitabu mojawapo kati ya vitabu vinavyochapishwa na Kenya Literature Bureau vya msururu wa Skillgrow. Msururu huu wa vitabu umezingatia Mtalaa wa kiumilisi wa mwaka wa 2017 wa masomo ya shule za Nasari.
    Kitabu hiki kimekusudiwa kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wa kutumia stadi zote nne za lugha ya Kiswahili; Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na kujiandaa Kuandika. Kupitia stadi hizi, mwanafunzi anakuza uwezo wake wa lugha.
    Toleo hili limejumuisha mambo muhimu ambayo yanachangia ujifunzaji wa sasa ambayo ni masuala mtambuko, maswali dadisi, masuala ya jinsia, picha murua za kuchangamsha na kuibua hamu ya kudadisi kwa mwanafunzi na mbinu tofauti za kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wake wa kujifunza. Mazingira halisi ya mwanafunzi yamezingatiwa katika kukuza kazi hii. Hili linamwezesha mwanafunzi kujifunza katika hali halisi. Lugha sahili imetumika ili kurahisisha kuelewa kwa mada zote katika kitabu hiki.

  • KLB Skillgrow Mazoezi ya Lugha PP2 Trs (Appr) by Wandera

    by Wandera
    KLB Mazoezi ya Kiswahiil Hatua ya Pili (Mwongozo wa Mwalimu) ni kitabu mojawapo kati ya vitabu vinavyochapishwa na Kenya Literature Bureau vya msururu wa KLB Visionary. Msururu huu wa vitabu umezingatia Mtalaa wa kiumilisi wa mwaka wa 2017 wa masomo ya shule za msingi.
    Kitabu hiki kimekusudiwa kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wa kutumia stadi zote nne za lugha ya Kiswahili; Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika. Kupitia stadi hizi, mwanafunzi anakuza uwezo wake wa lugha. Toleo hili limejumuisha mambo muhimu ambayo yanachangia ujifunzaji wa sasa ambayo ni masuala mtambuko, maswali dadisi, masuala ya jinsia, utendaji wa mwanafunzi, picha murua za kuchangamsha na kuibua hamu ya kudadisi kwa mwanafunzi na mbinu tofauti za kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wake wa kujifunza. Mazingira halisi ya mwanafunzi yamezingatiwa katika kukuza kazi hii. Hili linamwezesha mwanafunzi kujifunza katika hali halisi. Lugha sahili imetumika ili kurahisisha kuelewa kwa mada zote katika kitabu.
    Msururu huu wa KLB Visionary umeshughulikiwa na jopo la walimu stadi wenye tajriba_ maalum katika kiwango cha shule ya msingi cha ujifunzaji. Kitabu hiki kimetolewa pamoja na Kitabu cha Mwanafunzi ambacho kitamwezesha mwalimu au msaidizi wa mwanafunzi kushughulikia kikamilifu mada zote zilizoko kwenye mtalaa.

  • KLB Skillgrow Psychomotor Act PP1 Trs (Approved) by Atieno

    by Atieno
    KLB Skillgrow Psychomotor and Creative Activities Pre-Primary 1 Teacher’s Guide is designed to assist the teacher deliver the new Pre-Primary Competency-Based Curriculum. It provides the most suitable approach in the coverage of the Strands and Sub-strands prescribed in the curriculum design through a wide and varied range of activities to ensure all the core values and links to other activity areas are brought out as spelt out in the curriculum design. The teacher’s guide has clearly highlighted all the pertinent and contemporary issues that are of relevance to the activity area. The whole approach is aimed at equipping the learner with 21st century skills.
    The guide effectively assists the teacher in lesson preparation, presentation and assessment; and suggests practical activities and accompanying resources as required. The teacher will find the guide very useful in the delivery of this new inquiry based curriculum.

  • Know More Psychomotor & Creative Activities Pre-Primary 2 by Ashikholwa

    by Ashikholwa

    Know More Psychomotor Activities for Pre-primary 2 is written in conformity to the new competence-based curriculum.
    It will assist learners to carry out various interactive psychomotor and creative learning activities and experiences.
    This will in turn provide learners with opportunities to develop core competences, core values, skills and attitudes.
    Key features
    • A detailed coverage of all the required curriculum design strands and
    sub-strands.
    • Interactive learner-centred learning activities and experiences.
    • Learner-centred activity questions for each learning experience,
    • Choice of learning activities that take care of learners with special
    needs.
    • Use of clear, varied, relevant and well-captioned illustrations to support
    text.
    • Interactive activity questions for each learning experience.
    • Community service learning activities that help in building collaborative
    relationships between schools and families.
    • Integration of Information Communication and Technology in the
    learning activities.
    • Promotion of inclusivity and gender parity through text and illustrations.
    The author of this book has taught young learners for many years.
    She has a vast experience in handling learners of this level.

  • Ladybird 3B: Boys and Girls

    100 Key Words make up half all those we read and write.This essential vocabulary is carefully introduced, practiced and developed throughout the scheme.

  • Ladybird 4a: Things We Do

    100 Key Words make up half f all those we read and write.This essential vocabulary is carefully introduced, practised and developed throughout the scheme.

  • Ladybird 4B: Fun at the Farm

    100 Key Words make up half all those we read and write.This essential vocabulary is carefully introduced, practiced and developed throughout the scheme.

  • Ladybird 5A: Where we Go

    100 Key Words make up half all those we read and write.This essential vocabulary is carefully introduced, practiced and developed throughout the scheme.

  • Ladybird 5B: Out in the Sun

    100 Key Words make up half all those we read and write.This essential vocabulary is carefully introduced, practiced and developed throughout the scheme.

Show Buttons
Hide Buttons

Main Menu

1
Scan the code
Thank you for visiting us,

Need any help?