• Spotlight IRE Learner’s GD4

    Spotlight IRE Learner’s Book Grade 4 has been uniquely developed to equip Grade Four Learners with knowledge and skills on the basic foundations of Islami as per the Competency-Based Curriculum. It is presented in a clear, simple and precise
    language to make learning interesting.

  • Spotlight IRE Learner’s Grade 6 (Approved)

    Spotlight Islamic Religious Education Learner’s Book Grade 6 has been uniquely designed to equip the learner with skills, values and competencies that will enable him or her to grow spiritually and morally. The book will greatly prepare the learner to grow as a responsible citizen who is at peace with Allah (S.W.T), self, others and the environment.

  • Spotlight IRE Teachers Grade 6 (Approved)

    Spotlight Islamic Religious Education Teacher’s Guide Grade 6 has been uniquely designed to guide the teacher in handling Grade 6 Islamic Religious Education Curriculum. It is presented in a clear, simple and precise language that makes teaching and learning stimulating and interesting.

  • Spotlight Islamic Religious Education Learner’s Book Grade 5 (Approved)

    by B. Ali, S. Mumin, S. Muhamed and A. Leyla

    Spotlight Islamic Religious Education Learner’s Book Grade 5 has been uniquely designed to equip the learner with skills, values, and competencies that will enable him or her to grow spiritually and morally. The book will greatly prepare the learner to grow as a responsible citizen who is at peace with Allah (S.W.T), self, others, and the environment.
    Key features of the book:
    – Covers all the strands, sub-strands, and learning outcomes of the Islamic Religious Education Grade 5 Competency-Based Curriculum.
    – Relevant learning experiences are provided in form of activities within the level of the learners.
    – Has enough digital activities where links have been provided for learners to watch videos. The videos provide more information, engage learners, bring about easier understanding of concepts and make learning of Islamic Religious Education interesting.
    – Attractive full-colour illustrations are used to clarify Islamic Religious Education concepts.
    – Develops concepts by using the learner’s environment and real-life experiences to foster skills, attitudes, and values in learners.
    – Revision exercises are provided for each sub-strand for formative assessment.
    – Learner-centred approaches, discovery-based and inquiry-based activities have been applied to develop concepts, core competencies, values, and Pertinent and Contemporary Issues (PCls).
    – A Teacher’s Guide is available for this title.

  • Spotlight Kurunzi ya Kiswahili GD2 by Matei

    by Matei
    Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi yo Pili kimeandaliwa kwa ustadi ili kumwezesha. mwanafunzi kumudu mtaala mpya 2017 unaolenga umilisi kwa njia sahili, yenye mvuto na ya kumjumuisha moja kwa moja kwenye shughuli za ufunzaji.
    Sifa za kitabu hiki:

    • Kimeshughulikia mada kwa namna ambayo inamwezesha mwanafunzi kushiriki kikamilifu katika ujifunzaji.
    • Mada na shughuli za darasani zimeteuliwa kwa uangalifu kumjengea mwanafunzi umilisi wa aina mbalimbali.
    • Kuna mazoezi na mijarabu anuwai (mazoezi, shughuli kwa mwanafunzi, miradi, mijarabu ya mwisho wa mada) kumwezesha mwalimu kupima umilisi wa mwanafunzi wa stadi mbalimbali za lugha.
    • Picha halisi na michoro ya kuvutia zinazosaidia katika uelewa wa mada.
    • Kinalenga kumsaidia mwanafunzi kutumia wifaa vya tekrrolojia kama vile video, redio, tabuleti katika kurahisisha ujifunzaji.
    • Mbinu tofauti za ufunzaji zimejumuishwa kama vile miradi shambani, shughuli nje ya darasani katika jamii (shambani, dukani, sokoni, usafi), kumwalika mgeni (wa usalama, usafi, mtaalamu), kutumia nyimbo, mashairi, kumhusisha mzazi au mlezi, uchoraji na ujifunzaji katika vikundi. Mbinu hizi zinasaidia kujenga umilisi wa mwanafunzi.
    • Masuala mtambuko na kuhusisha maadili kujenga mada tofauti imeshughulikiwa.
    • Kitabu cha mwalimu kipo ili kumpa mapendekezo katika ufunzaji.
  • Spotlight Kurunzi ya Kiswahili GD2 Mwalimu by Matei

    by Matei
    Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwalimu Gredi ya Pili kimeandaliwa kwa ustadi ili kumwezesha mwalimu kumudu mtaala mpya 2017 unaolenga umilisi kwa mwanafunzi haswa katika shughuli za ufunzaji na ujifunzaji.
    Kitabu hiki

    • Kimeshughulikia mada kwa namna ambayo inamwezesha mwanafunzi kushiriki kikamilifu katika ujifunzaji.
    • Mada na shughuli za darasani zimeteuliwa kwa uangalifu kumjengea mwanafunzi umilisi wa aina mbalimbali.
    • Kuna mazoezi na mijarabu anuwai (mazoezi, shughuli kwa mwanafunzi, miradi, mijarabu ya mwisho wa mada) kumwezesha mwalimu kupima umilisi wa mwanafunzi wa stadi mbalimbali za lugha.
    • Picha halisi na michoro ya kuvutia zinazosaidia katika uelewa wa mada.
    • Kinalenga kumsaidia mwanafunzi kutumia wifaa vya tekrrolojia kama vile video, redio, tabuleti katika kurahisisha ujifunzaji.
    • Mbinu tofauti za ufunzaji zimejumuishwa kama vile miradi shambani, shughuli nje ya darasani katika jamii (shambani, dukani, sokoni, usafi), kumwalika mgeni (wa usalama, usafi, mtaalamu), kutumia nyimbo, mashairi, kumhusisha mzazi au mlezi, uchoraji na ujifunzaji katika vikundi. Mbinu hizi zinasaidia kujenga umilisi wa mwanafunzi.
    • Masuala mtambuko na kuhusisha maadili kujenga mada tofauti imeshughulikiwa.
    • Kitabu cha mwalimu kipo ili kumpa mapendekezo katika ufunzaji.
  • Spotlight Kurunzi ya Kiswahili GD3 Mwalimu by matei

    by matei
    Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwalimu Gredi ya Tatu kimeandaliwa kwa ustadi ili kumwezesha mwalimu kumudu mtaala mpya 2017 unaolenga umilisi kwa mwanafunzi haswa katika shughuli za ufunzaji na ujifunzaji.
    Kitabu hiki

    Kimeshughulikia mada kwa namna ambayo inomwezesho mwanafunzi kushiriki kikamilifu kotiko ujifunzop.
    • Mada na shughuli za darasani zimeteuliwa kwa uangalifu kumjengea mwanalunzi umilisi wa ama mbalimbali.
    • Kuna mazoezi na mijarabu anuwai (mazoezi, shughuli kwa mwanafunzi, miradi, mijarabu ya mwisho we made) kumwezesha mwalimu kupima umilisi wa mwanafunzi wa stadi mbalimbali za lugha.
    • Picha halisi na michoro ya kuvutia zinazosaidia katika uelewo wa mada.
    • Kinalenga kumsaidia mwanafunzi kutumia vifaa vya teknolojia kama vile video, redio, tabuleti katika kurahisisha ufunzaji.
    • Mbinu tofauti za ufunzaji zimejumuishwa kama vile miradi shambani. shughuli nje yo darasani katika jamii (shambani,dukonissokomosaf). kumwolika mgeni (wa usalama.usafi. mtaalamu). kutumia nyimbo,mashairi, kumhusisha mzazi au mlezi, uchoraji no unfunzaji kotiko vikundi. Mbinu hizi zinasaidia kujenga umilisi wa mwanafunzi.
    • Masuala mtambuko no kuhusisho moadili kujengo modo tofouti imeshughulikiwa.
    • Kitabu cha mwalimu kipo iii kumpa mapendekezo katika ufunzaji.

  • Spotlight Kurunzi ya Kiswahili Grade 3

    Kurunzi yo Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya Totu kimeondoliwo kwo ustadi ili kumwezesho mwonofunzi kumudu mtaala mpya 2017 unaolenga umilisi kwa njia sahili. yenye mvuto na ya kumjumuisho moja kwo mojo kwenye shughuli za ufunzaji. Sifa za kitabu hiki • Kimeshughulikia mada kwa namna ambayo inomwezesho mwanafunzi kushiriki kikamilifu kotiko ujifunzop. • Mada na shughuli za darasani zimeteuliwa kwa uangalifu kumjengea mwanalunzi umilisi wa ama mbalimbali. • Kuna mazoezi na mijarabu anuwai (mazoezi, shughuli kwa mwanafunzi, miradi, mijarabu ya mwisho we made) kumwezesha mwalimu kupima umilisi wa mwanafunzi wa stadi mbalimbali za lugha. • Picha halisi na michoro ya kuvutia zinazosaidia katika uelewo wa mada. • Kinalenga kumsaidia mwanafunzi kutumia vifaa vya teknolojia kama vile video, redio, tabuleti katika kurahisisha ufunzaji. • Mbinu tofauti za ufunzaji zimejumuishwa kama vile miradi shambani. shughuli nje yo darasani katika jamii (shambani,dukonissokomosaf). kumwolika mgeni (wa usalama.usafi. mtaalamu). kutumia nyimbo,mashairi, kumhusisha mzazi au mlezi, uchoraji no unfunzaji kotiko vikundi. Mbinu hizi zinasaidia kujenga umilisi wa mwanafunzi. • Masuala mtambuko no kuhusisho moadili kujengo modo tofouti imeshughulikiwa. • Kitabu cha mwalimu kipo iii kumpa mapendekezo katika ufunzaji.

  • Spotlight Kurunzi ya Kiswahili Grade 4

    Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya Nne kimeandaliwa kwa ustadi ili kumwezesha mwanafunzi kumudu mtaala huu unaolenga umilisi kwa nijia sahili, yenye mvuto na ya kumjumuisha moja kwa moja kwenye shughuli za ujifunzaji.

    Kitabu hiki:

    * Kimeshughulikia mada kwa namna ambayo inamwezesha mwanafunzi kushiriki kikamilifu katika ujifunzaji.

    * Mada na shughuli za ujifunzaji zimeteuliwa kwa uangalifu ili kumjengea mwanafunzi umilisi wa aina mbalimbali.

    * Kina mazoezi na mijarabu anuwai ya kumtathmini mwanafunzi.

    * Kina picha halisi na michoro ya kuvutia inayosaidia katika uelewa wa mada.

    * Kinalenga kumsaidia mwanafunzi kutumia vifaa vya teknolojia kama vile video, redio na tabuleti katika kurahisisha ujifunzaji.

    *  Mbinu tofauti za ujifunzaji zimejumuishwa kama vile kazi mradi, shughuli nje ya darasa, kumwalika mgeni, kutumia nyimbo, mashairi, kumhusisha mzazi au mlezi, uchoraji na ujifunzaji katika vikundi. Mbinu hizi zinasaidia kuujenga umilisi wa mwanafunzi.

    * Mada na shughuli za ujifunzaji zimeshughulikia masuala mtambuko na kumsisitizia mwanafunzi maadili.

    * Kitebu cha mwalimu kipo ili kumpa mapendekezo katika ufunzaji.

  • Spotlight Kurunzi ya Kiswahili Gredi 8 (Approved)

    Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8 kimeandaliwa kwa ustadi kuzingatia Mtaala wa Umilisi wa Gredi ya 8. Kitabu hiki kitamwezesha mwanafunzi kumudu stadi za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Kuandika na Sarufi kwa njia inayoafiki kiwango chake.

    Yaliyomo

    Kitabu hiki cha mwanafunzi kina mazoezi na mijarabu anuwai, kama vile:
    -Shughuli kwa Mwanafunzi

    -Shughuli ya Wanafunzi Wawiliwawili

    -Shughuli ya Vikundi

    -Shughuli ya Nyumbani

    -Shughuli ya Ziada

    -Tamthmini ya Mwisho wa Mada

    Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8 kina Mwongozo wa Mwalimu unaoandamana nacho ili kumwongoza mwalimu na kumpa mapendekezo ya ufunzaji.

  • Spotlight Kurunzi ya Kiswahili Mwanafunzi Grade 6

    Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6 kimeandaliwa kwa ustadi ili kumwezesha mwanafunzi kumudu mtalaa mpya unaolenga umilisi kwa njia sahili, yenye mvuto na ya kumjumuisha moja kwa moja kwenye shughuli za ufunzaji na ujifunzaji.

Main Menu