-
Fani Mbalimbali za Kiswahili 2
by YAHYA
FANI mbalimbali na mazoezi yake
- Maneno maunganifu
- siyahi
- ala za muziki
- misemo
- maneno miigo
- maumbo tofauti
- aksami na tarakimu
- mgawanyiko wa methali kwa mada
- ziada ya semi za kusisitiza na kadhalika
-
KLB Visionary Art and Craft Grade 2 Teacher’s Guide (Approved)
by Okemba Lore, Gerard Motondi, Margaret Atieno, Elizabeth Muriuki
KLB Visionary Art and Craft Activities Grade two Teacher’s Guide is designed to assist the teacher deliver the new grade 2 Competence Based Curriculum. It provides the most suitable approach in the coverage of the Strands and Sub-strands prescribed in the curriculum design through a wide and varied range of activities to ensure all the core values and links to other activity areas are brought out as spelt out in the curriculum design. The teacher’s guide has clearly highlighted all the pertinent and contemporary issues that are of relevance to the activity area. The whole approach is aimed at equipping the learner with 21st century skills. The guide effectively assists the teacher in lesson preparation, presentation and assessment; and suggests practical activities and accompanying resources as required. The teacher will fi7ld the guide very useful in the delivery of this new inquiry based curriculum.
-
Moran Stadi za Kiswahili Shughuli za Lugha Kitabu cha Mwalimu Gredi 2 (Approved)
by MORAN
Stadi za Kiswahili, Kitabu cha Mwalimu, Gredi ya 2 ni mwongozo unaomwelekeza mwalimu kuendesha vipindi vya Kiswahili darasani. Kwa mintarafu ya mtaala mpya uegemedo umilisi uliozinduliwa na Taasisi ya Ukuzaji Mitaala ya Kenya (KICD) mnamo Septemba 2017 na uliotumiwa kukiandaa kitabu hiki, mwalimu ni mwezeshaji wa mchakato wa ufundishaji na ujifunzaji. Mwongozo huu umetayarishwa kwa kutilia maanani ukweli huu.
Mwalimu amependekezewa jinsi ya kuandaa masomo, mbinu, zana na vifaa, utaratibu wa ufundishaji na jinsi ya kupima kiwango cha umilisi wa mwanafunzi baada ya kila kipindi. Aidha, Mwalimu amependekezewa jinsi ya kusimamia shughuli za mwanafunzi binafsi, za wanafunzi wawiliwawili na hata za makundi ya wanafunzi. Aidha, majibu ya mazoezi yaliyomo katika Kitabu cha Mwanafunzi yametolewa katika mwongozo huu.
Katika kila kipindi, mwalimu amependekezewa jinsi ya kuhusisha ‘stadi nne kuu Za lugha: kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika. Si hayo tu, ameelekezwa jinsi ya kuoanisha mada mbalimbati na umilisi wa kimsingi, masuala mtambuko, maadili, uhusiano wa mada mbalimbali na masomo mengine miongoni mwa masuala mengine yanayofumbatwa na mtaala mpya uegemedo umilisi.
Azma ya mwongozo huu ni kumchochea mwalimu kuwa mbunifu katika kuendeleza vipindi vya Kiswahili. Hivyo, ataweza kumtayarisha mwanafunzi wa Gredi ya 2 kutumia Kiswahili sanifu katika mazingira mbalimbali kwa kujithamini na kujiamini.
-
Siri Sirini 2: Mpiga Mbizi Kilindini kitabu cha 2
by Rocha M.Chimerah
Ni nani aliyetenda kitendo hiki kilichobakia kuwa siri ya kughasi, siri iliyo sirini? Ni Kidhabi au ni Kijumwa? Hiki ni kitendo kipi ambacho kimebaki kuwa siri iliyofichika, isiyojulikana na wazee wa mji wala vijana wa kijiji, viongozi au waongozwa? Ni kitendo gani hiki ambacho kinaumiza vichwa vya wafalme na vitwana, maimamu na maimuma, hadi mfalme anapatwa na kizunguzungu kwa kupiga mbizi kilindini? Na si yeye tu, bali lukuki ya watu! Kero inapozidi kero na siri inapozidi kusaki sirini, mfalme anariaria na kuendelea kupiga mbizi… ‘Mfalme alishtuka. Mfalme alihangaika, mfalme alibabaika. Alipiga mbizi katika marefu na mapana ya akili yake… Ni nani aliyefanya kitendo hiki? Kwa ajili gani? Alikifanya yeye peke yake au kwa ushirika na wengine?
-
Nursery Aid Book 1
by PATEL
Nursery Aid Book 1 is a n ideal teaching aid for teachers as well as parents.
-
Shop By Categories
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books
- International Curriculum
- Marketplace – Used Books!
- National Curriculum
- TVET/Higher Learning
- Lab Equipment
- General Books











