Shamba la Halaiki by Spotlight Publishers

KShs522.00

In stock

Some short description

Compare

by Spotlight Publishers
Shamba la Halaiki ni tamthilia inayomulika hall halisi ya uongozi katika jamii inayowashangilia na kuwakashifu viongozi kwa msingi wa kikabila. Wakazi wa Mabondeni katika Jimbo la Matengo wanakumbwa na mafuriko yenye maangamizi makubwa. Halaiki, mmiliki wa shamba kubwa lenye rasilimali nyingi, anatoweka punde to mafuriko yanapotokea. Kutoweka kwake kunazua maswali na taharuki. Je, alisombwa na maji? Je, alivawa?Je, angali hai? Vuta n’kuvute baina ya Gavana Mbi na wafuasi wake kwa upande mmoja na Seneta Lila na wandani wake kwa upande wa pili kuhusu fedha za kuwasaidia waathiriwa wa mafuriko na umiliki wa shamba la Halaiki inachora taswira halisi ya jamii inayowashangilia waovu na kuwasulubu wema. Je, hatima yake ni nini? Je, pana chembechembe ya matumaini katika jamii kama hii?

Be the first to review “Shamba la Halaiki by Spotlight Publishers”

Your email address will not be published.

Reviews

There are no reviews yet.

See It Styled On Instagram

    No access token
Show Buttons
Hide Buttons

Main Menu

1
Scan the code
Thank you for visiting us,

Need any help?