Sauti ya Umma by Okiya Omtatah Okoiti
by Okiya Omtatah Okoiti
Nasirumbi anakumbana na upinzani na ghadhabu ya nguvu za rungu la dola kwa kupinga unyakuzi wa msitu wa simbi.Ukiongozwa na bosi,utawala wa kisiasa unafanya kila uwezalo kutimiza lengo lao la tamaa-Kunyakua msitu wa simba.Hata hivyo,utawala huo unalazimika kupambana na ukakamavu wa nasirumbi ,ambao ni jinamizi kwa bosi na vibaraka wake
Reviews
There are no reviews yet.