Mwongozo wa Tumbo lisiloshiba na Hadithi Nyingine (climax) by Samson Kea, Monika Faith…

KShs415.00

In stock

Some short description

Compare

by Samson Kea, Monika Faith, Paul N. Ngethe, Peter K. M
Mwongozo huu wa Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine umeandikwa na paneli ya Kiswahili ya Kitele cha Lugha, iliyoko mjini Nairobi.
Paneli hii inajumulisha waalimu woliobobea katika kufunza na kutahini mtihani wa kitaifa wa somo la fasihi.
Mwongozo huu unalenga kuwasaidia waalimu  na wanafunzi wa shule za upili katika kuelewa mkusanyiko wa hadithi fupi na pia kuwasaidia kuitayarisha katika mtihani wa kitaifa (K.C.S.E)
Mwongozo huu umejadili;
Ufaafu wa anwani
Mtiririko wa vitushi
Dhamira
Maudhui
Mbinu za uandishi
WahusIka na sifa zao
Mifano ya Maswali na Majibu

Be the first to review “Mwongozo wa Tumbo lisiloshiba na Hadithi Nyingine (climax) by Samson Kea, Monika Faith…”

Your email address will not be published.

Reviews

There are no reviews yet.

See It Styled On Instagram

    No access token
Show Buttons
Hide Buttons

Main Menu

1
Scan the code
Thank you for visiting us,

Need any help?