Mwongozo wa KCSE Fasihi (Vide Muwa) by Danstone Bobea Khasiani

KShs500.00

In stock

Some short description

Compare

by Danstone Bobea Khasiani
Mwongozo wa KCSE Fasihi
Mwongozo wa KCSE Fasihi ni kitabu kilichoandaliwa iii kuwafaa wanafunzi wanaojiandaa kwa mtihani wa Fasihi ya Kiswahili katika KCSE. Mwongozo huu umewasilisha uchambuzi wa mada zote tano zinazotahiniwa katika karatasi ya tatu ya mtihani wa Kiswahili-Fasihi, ambazo ni: Riwaya, Tamthilia, Hadithi Fupi, Ushairi na Fasihi Simulizi. Hivyo, mwongozo huu una uchambuzi wa riwaya ya Kidagaa Kiniefilirozea, tamthilia ya Mstahiki Mexa, diwani ya hadithi fupi ya Daum Nveusi Nvingin, Ushairi na Fasihi Mwongozo huu:; umeandaliwa kwa lugha sahili iii kufanya usomaji wake zoezi jepesi. Maelezo ya kutosha na faafu yametolewa kuhusu kila kipengele kilichogusiwa katika mwongozo huu. Ni wazi kuwa mwongozo huu utawafaa wasomaji wake kwa njia kadhaa. Kwanza, iii k-ufanya udurusu wa mada zinazotahiniwa, mwanafunzi hatahitajika kununua miongozo mingi, jambo ambalo linampunguzia msomaji gharama ya ununuzi wa vitabu. Pili, kando na uchambuzi wa mada kwenye kitabu, mwongozo huu umetoa maelezo kuhusu utahini wa fasihi, hasa istilahi zinazotumiwa kuulizia maswali na maana zake. Kuna mifano anuwai katika sehemu zote zilizoshughulikiwa ambayo inanuiwa kumwelekeza msomaji zaidi katika usomaji na udurusu wake.
Danstone ‘Bobea’ Khasiani ni niwalimu mwenye tajriba pevu katika ufundishaji wa Kiswahili. Kande na ufundishaji, Bwana Khasiaai ni mchanganuzi wa masuala kuhusu lugha na fasihi ya Kiswahili katika Radio Maisha. Amechapisha pia makala anuwai juu ya mada mbalimbali kuhusu Kiswahili katika Taifa Leo. Mashairi aliyoyatunga yamechapishwa mara kwa mara katika gazeti hill. Ameshiriki katika makongamano ya wanafunzi na walimu ambako amehutubu juu ya ufundishaji na uandaaji wa wanafunzi kukabiliana na mitihani yao, hasa ule wa Fasihi ya Kiswahili katika KCSE. Kwa sasa, Bwana Khasiani ni mwalimu wa lugha na fasihi ya Kiswahili katika shule moja ya kibinafsi mjini Nairobi.

Be the first to review “Mwongozo wa KCSE Fasihi (Vide Muwa) by Danstone Bobea Khasiani”

Your email address will not be published.

Reviews

There are no reviews yet.

See It Styled On Instagram

    No access token
Show Buttons
Hide Buttons

Main Menu

1
Scan the code
Thank you for visiting us,

Need any help?