by Wamitila
Mugogo Wehu, mhudumu wa ombaomba, anajiwa na hamu va kufumbua kitendawili kisichoteguliwa. Hadithi yvake inasimuliwa sambamba na_nyingine inayosimuliwa na Mzec, kiongozi wa nchi, ambaye anapambana na wakati asiouelewa. Hii ni riwaya ilivojaa tashuu, kKinaya na ukweli unaokereketa maini.
Reviews
There are no reviews yet.