Mkuu: Mashaka by Bwanaheri A Salim
by Bwanaheri A Salim
Nini ambacho Kiburi hakubarikiwa nacho; mali, ulimbwende au umaarufu? Lakini, vyote hivi havikutosha kumpa raha aliyoisaka maishani.Kwa upande mwingine, Mashaka anakumbana na mashaka kwa sababu ya kiburi cha Kiburi. Sio kwamba Kiburi hakumpenda Mashaka. La, hasha! Alimpenda sana na alikuwa tayari kumwaga mali yake yote, mradi tu ampate.Basi, binadamu huhitaji nini ili kufurahia ukamilifu wa maisha?Hili ndilo swali ambalo mwandishi anauliza katika kisa hiki cha kuburudisha na kuelimisha.Bwanaheri A Salim ni mwalimu na mwandishi mwenye tajiriba nyingi. Ameandika vitabu vingi vya hadithi pamoja na vitabu vya kiada na marudio.
Reviews
There are no reviews yet.