Miali ya Ushairi: Shule za Upili na Vyuo … by Iribemwangi

KShs485.00

In stock

Some short description

Compare

by Iribemwangi
Ushairi ni taaluma ambayo huwa tatizi mno kwa wanafunzi na wakereketwa wengi wa lugha ya Kiswahili. Katika kuandika Miali ya Ushairi, waandishi wananuia kueleza namna ya kusoma, kuelewa na kuchambua mashairi kwa njia sahili na inayoeleweka vizuri. Miali ya Ushairi ni kitabu muhimu kwa wanafunzi wa vyuo vikuu, vyuo vya walimu na pia katika shule za upili. Ni dafina muhimu kwa walimu wa fasihi na pia kwa wote wanaoashiki fasihi ya Kiswahili.

Be the first to review “Miali ya Ushairi: Shule za Upili na Vyuo … by Iribemwangi”

Your email address will not be published.

Reviews

There are no reviews yet.

See It Styled On Instagram

    No access token
Show Buttons
Hide Buttons

Main Menu

1
Scan the code
Thank you for visiting us,

Need any help?