Mentor Kielekezi cha Kiswahili Gredi 8 (Approved)

KShs900.00

In stock

Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 8 kimeandaliwa kwa ustadi ili kumrahisishia mwanafunzi kuelewa na kufikia matokeo maalumu yanayotaragjiwa.

Kitabu hiki:

-Kimeandikwa kumwezesha mwanafunzi kukuza na kujenga ujuzi na uwezo wa kutumia stadi za lugha; Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Kuandika na Sarufi.

-Kimeandikwa kwa lugha rahisi na kutoa mifano mwafaka katika mazingira tofautitofauti.

-Kimeshughulikia masuala mtambuko kama vile: uraia, utangamano, elimu ya amani, stadi za maisha, mazingira, elimu ya maendeleo endelevu, teknolojia na afya bora.

-Kina mazoezi muhimu ya kumtathmini mwanafunzi na pia kujitathmini.

-Kina maswali ya tathmini mwishoni mwa kila sura ili kumsaidia mwanafunzi kufanya marudio zaidi.

-Kimeandikwa na waandishi wenye tajriba kubwa katika ufundishgji wa somo la Kiswahili katika shule bora nchini Kenya. Wanaelewa vyema mahitaji ya mwanafunzi na mwalimu katika somo la Kiswahili na Mtaala wa Kiumilisi.

Compare
Be the first to review “Mentor Kielekezi cha Kiswahili Gredi 8 (Approved)”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

See It Styled On Instagram

    No access token
Show Buttons
Hide Buttons

Main Menu

1
Scan the code
Thank you for visiting us,

Need any help?