Masaibu Mbugani by Ngulamu Mwayiro
by Ngulamu Mwayiro
Masaibu Mbugani ni hadithi inayopatikana katika mfululizo mpya . Hadithi hii ni ya wanafunzi wa darasa la Nane.Hadithi hii inasimulia adha na masaibu yaliyomkumba kijana Mnene mbugani akiwa ziarani kijijini kwa amu yake. Aidha, katika hadithi hii tunajifunza mengi kuhusu migongano kati ya wanyama na jamii zinazoishi karibu na mbuga za wanyama pori na umuhimu wa kutunza mazingira. Ungana nasi kujitambulia ukweli huu.
Reviews
There are no reviews yet.