Mahari na Mali by Emmanuel Kariuki
by Emmanuel Kariuki
“Wakati Mlexus alipokuwa akiliendesha gari lake, nilimtupia jicho mara kwa mara. Nilikuwa nimezizoea zile kucha za Chiriku za rangi nyekundu. Za huyu dada zilikuwa za mseto wa rangi tatu: nyeusi, zambarau na mistari mieupe. Michoro hiyo iliambatana na nakshi za rinda lake. Ukiongezea na manukato yale, ungelihisi ukiwa karibu na binti wa sultani – ama kweli uchumi ulikuwa umenionea!”
Reviews
There are no reviews yet.