Likizo ya Mauti na Hadithi Nyinginezo
Likizo ya Mauti na Hadithi Nyingine inajumuisha hadithi 13 fupi. Diwani hii imewaleta pamoja waandishi wahiri ambao waimejikita katika utanzu huu Afrika Mashariki. Masuala yafuatayo yanayoathiri binadamu katika karne hii yamejitokeza katika hadithi hizi: ubinafsi, demokrasia, ukora wa kisiasa, Ukumiwi, dawa za kulevya, usawa wa kijinsia, dhuluma dhidi ya watoto, wizi, ufisadi na urithi. Hata hivyo, licha ya matatizo haya, waandishi wanakubaliana kuwa kuna matumaini.
Reviews
There are no reviews yet.