Kamusi ya Kiswahili Sanifu Toleo la 4 by Oxford University Press

KShs1,045.00

In stock

by Oxford


Kamusi ya Kiswahili Sanifu ina historia ndefu. Toleo la kwanza lilichapishwa mwaka 1981. Toleo hili la Nne limeboreshwa na kupangwa upya ili kumwezesha mtumiaji kupata taarifa anayoitafuta kwa urahisi. Toleo hili lina:
• zaidi ya vidahizo vipya 1 000
• kurasa 48 za rangi zenye mada mbalimbali
• zaidi ya methali 500 zilizotolewa maana
• nahau na misemo iliyotolewa maana.

ISBN: 9780195746167

Compare
Be the first to review “Kamusi ya Kiswahili Sanifu Toleo la 4 by Oxford University Press”

Your email address will not be published.

Reviews

There are no reviews yet.

See It Styled On Instagram

    No access token
Show Buttons
Hide Buttons

Main Menu

1
Scan the code
Thank you for visiting us,

Need any help?