Homa ya nyumbani na hadithi nyingine by “Walibora,Mohamed”

KShs475.00

In stock

Some short description

Compare

by “Walibora, Mohamed”
Fasihi ni kioo cha jamii. Hadithi fupi, kama utanzu wa fasihi, huweka wazi masuala na matukio katika jamii kiasi cha jamii kueleweka na kutambulika. Uhusiano miongoni mwa wanajamii husawiriwa kupitia mienendo, mazungumzo, matendo na fikira ya wahusika. Hali ambayo huwafanya wapenzi wa fasihi, haswa hadithi fupi, kujua jinsi jamii yao ilivyo, na kwa hivyo, kuendeleza maadili ama kupogoa jambo lolote linaloenda kombo.
Mkusanyiko huu wa Homa ya Nyumbani na Hadithi Nyingine ni wa pekee na hauna mwenza wala mshindani. Waandishi wa hadithi zake wana falsafa, misimamo, mitindo na maono faafu kwa jamii yetu na kizazi kijacho.

Be the first to review “Homa ya nyumbani na hadithi nyingine by “Walibora,Mohamed””

Your email address will not be published.

Reviews

There are no reviews yet.

See It Styled On Instagram

    No access token
Show Buttons
Hide Buttons

Main Menu

1
Scan the code
Thank you for visiting us,

Need any help?