Haini by Adam Shafi

KShs655.00

In stock

Some short description

Compare

by Adam Shafi
Hamza, kijana mwandishi wa habari, anakamatwa kwa kutuhumiwa kuwa haini, hasa kutokana na uhusiano wake wa karibu na Hamduni, ambaye amempiga risasi na kumwua Kigogo, kiongozi wa nchi. Sehemu kubwa ya riwaya hii inasimuliwa gerezani ambako Hamza pamoja na wengine waliosombwa na kurundikwa huko, wanateswa, kuthakilishwa na kutendewa unyama wa kila namna.Haini ni riwaya inayochukua tukio la kihistoria la kuuawa kwa kiongozi mmoja wa Kiafrika mwaka 1972, na kulifanya kiini cha kuyachunguza matatizo ya kisiasa, kijamii na kiuchumi ya nchi za Kiafrika baada ya uhuru, chini ya mifumo ya utawala inayojali tu maslahi ya wachache. Ni riwaya yenye uhisivu na taharuki ya kipekee, na licha ya kuwa na sifa za kitanzia, inasheheni msambao wa ucheshi na viliwazo.”Alinyanyuliwa akatupwa nje na baada ya kutua juu ya ile sakafu tu wakam’mwagia ndoo nzima ya maji kumfufua arudi tena duniani. Walipomwona anazindukana wakaanza tena, ‘sasa utasema’.”

Be the first to review “Haini by Adam Shafi”

Your email address will not be published.

Reviews

There are no reviews yet.

See It Styled On Instagram

    No access token
Show Buttons
Hide Buttons

Main Menu

1
Scan the code
Thank you for visiting us,

Need any help?