Cambridge IGCSE Swahili Reading and Writing

KSh2,950.00

In stock

PRODUCT DETAILS

Kitabu hiki kimeandikwa kwa ustadi, umakinifu na uzingatifu wa silabasi ya Cambrige.

Kitabu hiki kitamwezesha mwanafunzi kuwa na ufasaha na umilisi mkubwa wa lugha ya Kiswahili na kumwaandaa kuupasi mtihani wake.

Sifa za kipekee za Kitabu hiki:

  • Kimezingatia kikamilifu silabasi ya Cambridge kuanzia kiwango cha msingi zaidi.
    Kimeandikwa kwa kuzingatia mbinu zinazomwelewesha mwanafunzi kwa urahisi.
  • Kina vielelezo vya mitihani ya Swahili 0262 ambavyo mwanafunzi atatumia kujipima.
  • Mazoezi haya yanasaidai kukuza uelewa wa mwanafunzi katika mada husika.
  • Kuna sehemu ya kipekee ya fahamu (Boresha usomaji wako) zinazomsaidia mwanafunzi kukuza stadi ya usomaji.
  • Kimesheheni insha mbalimbali pamoja na mifano yake.
  • Kinafuata mtindo mpya wa utahini wa Cambridge.

Waandishi wa kitabu hiki wana tajriba kubwa na uzoefu wa kufunza Kiswahili katika mtalaa wa Cambridge.

ISBN: 9789914491555

Compare
Be the first to review “Cambridge IGCSE Swahili Reading and Writing”

Your email address will not be published.

Reviews

There are no reviews yet.

See It Styled On Instagram

    No access token
Show Buttons
Hide Buttons

Main Menu

1
Scan the code
Thank you for visiting us,

Need any help?