Alitoroka Kwao by Angelina Mdari
by Angelina Mdari
Alitoroka Kwao Lo! Mara Eva alipoipokea ile risiti yake akaanza kutetemeka kwa woga. Akajiwa na fikira zilizomzomea, ‘Mtoto umepotea wewe! Ati unaenda Nairobi? Unamjua nani huko?’ Mawazo hayo yakamjaa ubongoni. Eva akaendelea kutetemeka kwa hofu. Na kweli, huko alikokuwa anakwenda alimjua nani? Lakini hapana! Akajipa moyo tena. Hangerudi nyuma!
Reviews
There are no reviews yet.