Werevu Mwingi by Mtuweta M Jacob

KSh174.00

In stock

Category:

“Mwalimu aliyefurahi zaidi ya wote ni Bi Ahula, ambaye ndiye alikuwa msimamizi wa darasa la akina Fidelio. Akamwambia; “Fidelio, unaendelea vizuri sana sasa. Usirudie kupata maksi mbayambaya za aibu!” “Ndio mwalimu,” Kijana akajibu. Wazazi nao walipendezwa sana na mwelekeo wa kijana wao. Hata hivyo, mamake Fidelio alikuwa na wasiwasi. Tabia hii ya mtoto wake ya kigeugeu kama kinyonga, hakuiamini.

Submit your review

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

Show Buttons
Hide Buttons

Shop By Department

1
Hi there,
Do you have a list? Share it here and we will be happy to help...