Vioja vya Musa 8b by Hezron Mogambi

KSh313.00

In stock

Category:

Fumbo Musa ni kijana anayetoka katika familia maskini. Hata hivyo. mwajiri wa baba yake anaamua kumlipia karo ili asomee shule ya bweni ya Kaachonjo. Shuleni anakumbwa na hali ngumu kwa kuwa wanafunzi wengi wanotoka katika familia za walalaheri. Kutokana na bidii masomoni na uadilifu, Musa anateuliwa kuwa kiranja mkuu. Hata hivyo, cheo hiki hakimpi furaha kwani anateuliwa na kuchekwa kwa sababu ya umaskini wa familia yao. Musa anashawishika kushiriki maovu ili kujipatia hela za kujistarehesha shuleni. Jambo hili linamzushia balaa, vioja na mikasa …

Submit your review

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

Show Buttons
Hide Buttons

Shop By Department

1
Hi there,
Do you have a list? Share it here and we will be happy to help...