Usiku wa Mashaka by One planet

KSh325.00

In stock

Category:

Punde tu walipofumba Macho kwa ajili ya maombi ya kukibariki chakula, sauti kali ya kengele ya mlango ilisikika. Kabla ya mtu yeyote kutoa kauli ya kumkaribisha mgeni yule, watu watatu wa umri wa makamo walijitoma sebuleni na kuukomelea mlango kwa haraka.”Kila mmoja wenu apige magoti na kuinua mikonojuu! Mara moja! Nisisikie mtu yeyote akitoa sauti…”Ndoto ya Kangwana kufika jijini Nairobi inatimia. Furaha yake ya kuwepo jijini hata hivyo inakatika ghafla wakati yeye na jamaa za mjomba wake wakijiandaa kushitaki njaa kwa chajio. Ni nini kilitokea na kuufanya usiku huo kuwa wa mashaka?Usiku wa Mashaka ni hadithi iliyosukwa na kufumwa kwa ustadi wa hali ya juu zaidi. Ni hadithi itakayokuteka kwa masimulizi ya kipekee ambayo hayataisha kukulia hamu ya kutaka kujua halima yake.

Submit your review

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Reviews

There are no reviews yet.

Show Buttons
Hide Buttons

Shop By Department

1
Hi there,
Do you have a list? Share it here and we will be happy to help...